Wadau poleni na shughuli, nilikua naulizia iwapo kuna mdau yoyote anayefanya biasharaya kuuza ream kwa bei ya jumla anayechukulia china, shida kubwa nilionayo ni brands zipi za kutoka china...
Ndugu yangu bofya GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly, then Create Your Account. Yaani utakamilisha usajili wako ndani ya dakika 5 tu.
Hii ni kazi ya mtandaoni! Hakuna...
Dar es Salaam.Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuwezesha miradi mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi...
Tuwe makini wafanyakazi wengi tunaowaacha kwenye maduka kutokana na ubize wetu siyo waaminifu.
Wafanyakaz wengi huangalia bidhaa inayouzika sana hivo nayeye analeta mzigo wake na anaanza kuuza wa...
Habari wakuu.
Nimepita baadhi ya taasisi za kutoa mikopo kama mabenki na Microfinance nikiwa na vielelezo vya usajili wa biashara(Tin ,lesseni na business registration name) pia niña mchanganuo...
Habari zenu Wakuu!
Nataka kuanza kuuza biashara ya ubuyu wa kupeki kwa bei poa kabisa, naomba msaada nawezapata wapi masoko ya biashara hii!! na je hii biashara inalipa!!? Naombeni ushauri mwenye...
Nauza simu za smartphones nzuri kwa bei za kawaida, Zina range from HTC, Samsung, Sony Xperia, Nokia nanyigine. Leo ni siku yako kama unataka smartphone, Chukua leo usi regret kesho. Namba za simu...
Mwandosya: Tatizo la maji Dar kuwa historia
TUESDAY, 15 MARCH 2011 19:45 NEWSROOM
NA MWANDISHI WETU
TATIZO la maji Dar es Salaam litakuwa historia ndani ya kipindi cha miaka minne baada...
Jamani naomba kuuliza, ninataka kufungua m pesa ya million moja"
naomba ufafanuzi jinsi ya kupata faida na kiwango unacholipwa kama wakala
anayefahamu anijuze jamani
Salaam wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, mwenzenu nimekwama hivyo naangalia upande wa pili. Nilikuwa na kazi zangu za kijasiriamali kwa miaka kadhaa, mambo si mambo yakatukia ya kutukia...
Vijana wengi wana idea nyingi za biashara lakini kutokana na kukosa fedha wamezikalia hizo idea,hivyo kama uko na uwezo kifedha andaa mashindano kupitia mitandao ya kijamii kama...
Hi guys,
Kuna binti mmoja anaitwa JENNY, ni mwanafunzi 1st year sua-anasomea Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY ENGINEERING, kaniomba ushauri nikasema nitaweka humu kwa ma great thinkers ili watoe...
Habari za uhakika nilizozipata ni kuwa yule aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa HITS-TANZANIA Bw.Gerhard May (Pichani)ame-resign siku ya Alhamisi,Wakati huo kukiwa na tetesi kampuni ya Huawei...
Kwa ninavyojua Bank za kawaida e.g. CRDB, NBC etc. zimesajiliwa B.O.T na zimedeposit fedha kiasi fulani B.O.T just encase zikafilisika fedha hizo hutumika kuwafidia wateja wao....Wasiwasi wangu ni...
Heshima kwenu wadau wa businesses.
nimekuwa nikiwafuatilia wafanyabishara wa hizi bidhaa za mali za asili kama kama mkaa , mbao , samaki , madini .
wengi niliowadadisi wanatumia uchawi .
kuna...