Wakuu Mimi ni mgeni hapa katika jukwaa lakini nimekuwa nikipita humu kwa muda mrefu bila kujiunga.
Kutokana na kuona michango ya wanajamii mlio wengi, nimegundua humu kuna watu wengi wanaoweza...
Naomba kujuzwa marekebisho ya kodi mpya yataanza lini kutumika? Nani ana jedwali la namna ya kukokotoa hesabu za mishahara kwa kodi mpya? tafadhari naomba msaada wenu
Wadau tufanya kazi ya kutengeneza Database system kwa ajili ya Biashara mbali mbali mbali kwa anaehitaji huduma zetu awasiliane nasi kupitia 0718164448
Financial backup:
Know how to:
Earn extra income
Own your business
Be your own boss
Have a great health
Live legacy
Travel the world
Grow your mind
Freedom of time
Own your own life style
Do...
Habari ya kazi. Mimi ni graduate ila home kuna gari aina ya pick up, sasa shida yangu ni weke wapi kwenye vijiwe vizuri ili iweze kuwa ya kukodishwa, maana niliwauliza watu wa vijiweni wakaniambia...
Kampuni nyingi za simu na za madini nchini zinadaiwa kuwanyonya wafanyakazi wao na kusababisha serikali kuamua kuingilia kati kwa kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala wa ajira...
Wakuu polen na kazi,naulizia b'ness ya Oryx gas inakwendaje?kama kuna mwana Jf anayeifanya anipe maujanja!hivi ukinunua kule depot wanakuletea hadi hapo unapofanyia b'ness au unabeba mwenyewe?na...
Wadau habari zenu.?
Baada ya utafiti wa kwenda sehemu nyingi za starehe na burudani,nikaja kugundua kuna umuhimu wa sehemu hizo kuwa na WIRELESS INTERNET CONNECTION,hivyo basi nachukua nafasi hii...
Kama unahitaji ushauri,matibabu,chanjo,kuhasi mbwa,ngo'mbe,mbuzi,nguruwe na kondoo,kutoa kizazi kwa mbwa na paka yaani kwa ujumla mambo yote yanayohusu mifugo kwa wale wa DSM tuwasiliane kwa...
Kwa wenye uzoefu na mambo ya mikopo kwenye mabenki yetu yanayofanya kazi zake hapa Tanzania naombeni mnijuze uzoefu wenu.
Ni benki gani zinatoa mikopo based on LPO. (NOTE: collateral ipo ila...
Ni kuku wa kienyeji.wenye umri wa miezi minne..nawafuga kiasili kabisa(organically)tunawalisha chakula tulichotengeneza wenyewe..tunawapa majani kila siku..majani tunayowapa ni majani ya...
Nataka kuanza kufuga kuku soon. Nina plan kuanza na kuku wa nyama coz mtaji nilionao sio mkubwa sana. Naomba kujulishwa nikiwa kama na mil 2 hivi inatosha kwa miezi yote 6? Hiyo mil 2 ni pamoja...
Nahitaji kuandika business plan (itakayoweza kutumika kuombea mkopo benki) ya kufungua kampuni ya Video Production/Graphic Design. Naomba mtaalamu wa kuandaa business plan anisaidie.
Helo wana jf.
nauza mbegu za miti ya miashoki kwa chupa ya 1L=10,000
kwa wale msioifahamu ni ile mit mirefu kabisa ambyo unaweza kupanda hata karbu na nyumba na kutoa kivuli
kwa yeyote mwenye...