Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.
Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa...
Wakuu Ina kuaje hapo kama mtu atataka kupata walau Hela ya kula tu kama 100k Tsh. Kwa biashara hii ya uchoraji wa michoro ya kiufundi kama vile ramani za nyumba na etc
Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye...
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment...
Habari za majukumu,
Kama kuna mkulima au mwenye anajua zinapatikana BAMIA na nyanya chungu naomba connection, ikiwa karibu na Dar itakuwa vizuri zaidi au hata nje ya Dar.
Nahitaji gunia kuanzia...
CRDB EBU WEKENI ACCOUNT WEZESHI NA SIO HUU UPUUZI WENU LA SIVYO KITAWALAMBA
Eti hii ndo account ya MWANAFUNZI isiyo na makato khaaaaaaa🙄🙄
Na za wafanyakazi hali ikoje Jamani?.🤣
Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!!
Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo...
Hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano.
Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja...
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.
Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako...
Biashara kuuza genge ni biashara moja nzuri sana. Kinachofanya watu wengi wasifanikiwe ni ile kuwekeza mtaji mdogo sana.
Imagine mtu anaanzisha biashara ya genge kwa mtaji wa elfu 80 sasa mtu...
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube...
BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia...
Naomba kuuliza nikihitaji package ya namna hiyo kwa ajili ya bidhaa mbalimbali je nitapata vipi naombeni wadau mnisaidie nijue namna ya kupata package za bidhaa zangu.
Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM,
Ameanza kwa mtiririko huu
∙ Supu ya Samaki
∙Choo cha kulipia
∙Chapati
∙maandazi
∙Wali + Pilau
∙Chips
Karibuni sana,
Katika...