Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

samahani wakuu!!nimetokea kuipenda hii gari na hesabu zilinipiga kikumbo tangu siku nyingi nashinda kukokotoa na kikokotozi cha TRA naona chenga tuu MAZDA Atenza sport wagon Manufacture year...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kusajili Ltd private company na BRELA. Naomba ufafanuzi. 1. Kwa sasa nataka kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali kwa serikalini na watu binafsi na hapo siku zijazo import...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
DAR ES SALAAM, African Barrick Gold (ABG) suffered a loss of $110 million (about Tsh179 billion) last year. This is despite creating 65,000 jobs in Tanzania with an investment of over $2...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Great thinkers, ni wapi naweza nikapata mashamba sehemu nzuri karibu na barabara au isiwe mbali sana na barabara bagamoyo ? Viwanja pia itakuwa vizuri.. Na gharama zake zina range kuanzia gani ...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Ndugu zangu kabla sijaingia kwenye ugonjwa wa moyo naomba ushauri kuhusu dhamira yangu ya kununua agari aina ya Toyota Hilux Double Cabin. Naomba kushauriwa kuhusu aina ya gari na bei yake. Pia...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Biashara ya kufuga kuku imekua ndoto yangu ya mda mrefu. Katika kuitimiza ndoto hii niliamua kuanza kufuga kuku wa mayai yaani layers. nilianza kwa kujenga banda zuri la kisasa. Nilianza na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji mashine ya kufunga mifuko ya sembe/nafaka size mbali mbali. Mwenye kujua anisaidie najua jf ntapata ufumbuzi
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Mimi ni mteja wenu toka mwaka 2011, ofisi yangu inategemea internet yenu. Tokea mwanzoni mwa mwaka huu 2013 uanze internet yeni imekuwa siyo reliable, kuna kipindi nakosa internet siku nzima au...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
KAMPUNI ya Mantra Tanzania inayosimamia mradi wa uchimbaji urani eneo la mto Mkuju wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, imesisitiza kushirikiana na jamii inayozunguka eneo la mradi kwa kusaidia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali haina mpango na kamwe haiwezi kuzuia kampuni ya kitanzania au Mtanzania kushiriki utafiti na uchimbaji mafuta na gesi ingawa ni gharama. Pia Rais Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Habari zenu wakuu mlio Jf. Naomba msaada kujua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni za (Miche, Maji na Dawa) 2. Sabuni yenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha Tbs na Bar code 4. Uwezo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ba ndugu zanu...... ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi.. dedicated palce ni victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Zenu Wakuu, Ningependa kupata msaada wa kujua kama hapa nchini Tanzania kuna hizi organizations ambazo nchi za wenzetu wanaita "Think Tanks" Nchi za wenzetu hizi "Thinks Tanks" zimekua...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau natafuta mtu anikoposhe kiboko water tank 10000 Lts nifanye biashara ya kuuza maji maana huku kwetu inalipa. Nitamlipa ndani ya miezi 10. Kama upo tayari tuwasiliane. 0718412041
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Any one selling the Qsat receivers am in need! Am in Dar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nisaidien sehemu zifuatazo, garama ya madumu y kupulizia shingapi? mazur ni aina gan na kutoka wapi? soko lake likovip? dawa gan ni nzur? madumu yanauzwa wapi?kwa bei gan? na wanapulizia kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
naomba fahamishwa wapi nitapata taa za mbele, za nyuma, medgadi na boneti vya Nissan x trail ya 2002. naomba bei zake pia. unaweza ni PM kwa maelewano
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Nipigie simu kuwahi nafasi ya mwanao sio usafiri WA kubanana simu namba 0714064767
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba anayefahamu gharama za kulipia ushuru wa perfume bandarini Coz nataka kufanya biashara ya kuingiza perfume kutoka nje na kuuza nchini.Kama unafahamu please ni PM au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…