Naanz kwa kuwasalimu. Mimi nimepa wazo la kufungua biashara ya kuuza chips, je biashara hii inaendaj na mtaji wake ni shilling ngapi kwa kuanzia. Nawasilisha.
Jamani kiukweli kuwekeza kwenye gesi sio lelemama, inahitajika fedha ya kutosha, ni ghali mno. Sielewi mifuko ya watanzania iko vipi lakini mimi nahisi gharama yake ni kubwa sana ni vyema serikali...
Wakuu salama ? nimekuwa nikijiuliza zile mbinu za kutathimini miradi au biashara kama inalipa au la kama ville NPV, IRR, MIRR, PI, n.k wabongo mitaani zinatumika ? maana...
Your Manners Are Showing!
Business etiquette is just as important today as it was for previous generations. However, with global communication being such a significant part of our everyday lives...
Wana jf. Hususan forum ya biashara na uchumi. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa biashara ya fast food. Yaan nataka niuze samaki wabichi pamoja na nyama ya ng'ombe on the same shop.
Naomba...
Wanajamvini habari za leo?
Kuna Swali ambalo nahitaji tulijadili hapa kwa pamoja,ni jinsi gani wafanyabiashara wakubwa wanaweza kuwainua wafanyabiashara wadogo?
Ni chaini kama hiyo ya kiuchumi...
habari zenu
Leo nimeona niongelee suala linalowagusa vijana wengi wanaoanza maisha na kujipanga ili waweze kuwa na makazi yao binafsi ya kwanza. Vijana wengi wamekuwa wakitapeliwa hasa Dar...
Jamani mitandao yetu ya simu imebadili gharama zao kimya kimya. Mimi natumia airtel, wamebadili vifurushi vyao kwa kupunguza dakika walizokuwa wakitoa. Kwa maneno mengine wameongeza gharama...
Wadau naomba kupata experience ya fursa ambazo zipi huko china. Naona na ninasikia watu wengi wakienda china wakifunga mizigi na kuja nayo tz. Tupeane ujuzi mtaji wa kwenda huko ni bei gani...
Ba ndugu zangu......
ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi..
dedicated palce ni
victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na...
Wadau habari za jioni,
Kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na soft copy ya katiba ya kikundi au saccoss anisaidie tafadhali.
Mimi na vijana wenzangu tumeanzisha kikundi cha watu kumi for Saving...
Ukubwa..... Mashariki mita 60, magharibi mita 40. Kaskazini mita 40. Kina umbo la mstatili. Hakina Hati....
Mahali... KIGAMBONI MIKWAMBE
Bei ..... Milioni 5.
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
Wapendwa,
Nimepata taarifa toka kwa mdogo wangu aliyepo sasatel kuwa hadi leo hii hawajalipwa mshahara wa mwezi wa saba na ule wa mwezi wa sita walipewa nusu tu.inasemekana kampuni imeuzwa kwa...
Kampuni ya mawasiliano ya Sasatel iko katika hati hati ya kufungwa baada ya kushindwa kufanya vizuri katika soko la mawasiliano hapa Tanzania ikiwemo kushindwa kujitanua kwenda mikoa mingine huu...