Habari wana Jamvi, nilikua nina mashaka sana na kuagiza mizigo Ali Express kwamba ntapokeaje mzigo wangu.
Nikafanya majaribio nilinunua bidhaa mbili Moja ni flash ambayo ipo kama kadi ya master...
Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani?
Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu...
Don’t be deceived na huyu jamaa ni TAPELI
Kwa majina anaitwa Iddi Mtoro Kanyallu
Aliwahi kuwa Diwani wa Kongowe, kupitia CCM (2015-2020)
Na sasa anataka kugombea tena.
Anawatapeli watu wengi...
Wanabodi kama kichwa cha habari kinavojieleza Badarini na Mipakani kuna taasisi nyingi zinazohusika katika ukaguzi wa mizigo matokeo yake ni usumbufu na kero kwa wanaoagiza mali toka nje.
Taasisi...
Wadau,
Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia...
Waziri Prof. Kitila Mkumbo Azindua Ofisi ya TIC Arusha na Awamu ya Pili ya Uhamasishaji Uwekezaji Kitaifa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amefungua rasmi...
Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya...
Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops
before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January
Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua...
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.
Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua...
Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na...
1. VAT
Kama robo mwaka turn over yako ni zaidi ya RMB 300,000 (TZS 100mil+) tax rate ni 1% otherwise no VAT
2. PROFIT TAX
Kama profit yako ni zaidi ya RMB 3mil (TZS 1bil +) tax rate ni 25% chini...
Habari zenu wakuu.
Hakuna sehemu zinaweza kuwa nzuri kwa wajasiriamali wanaoanza kujitafuta kama minada.
Andika hapo jina la mkoa/ wilaya uliopo na siku ya mnada (minada ya wamachinga)
Kama...
- Awaondoa raia wa kigeni kwenye Leseni ya Uchimbaji mdogo kwa kukosa mkataba wa msaada wa kiufundi
- Aagiza maofisa madini nchini kufanya operesheni ya ukaguzi wa mikataba ya msaada wa kiufundi...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana nimefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo...
Habari wapambanaji wenzangu!
Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Mzuka wanajamvi!
Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua.
Anajiona yeye ni mungumtu.
Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba...
Wewe kama una laki tano au milioni, na ukiona maisha ya mjini hayaeleweki, nenda shamba. Huko jifanye huna kitu. Watu wana mashamba huko hayapotei, unaweza kupewa hata bure ulisafishe na ulime...