Habari wana JF
nimepata soko la kupeleka Frozen beef ,chicken na pork nje
Naomba msaada wa yeyote anayeweaza kunisaidia picha zabidhaa hizo anitumie kwa pm
Ndugu wapenzi wa JamiiForum Salaam zenu!
Mimi naprocess na kupaki unga safi wa sembe na dona kutoka jijini Mbeya kwa jina la MBEYA FOOD. Unga ni Mzuri sana wadau.
Kwa sasa nahitaji maajent...
Habari.Nafikiria kujenga chumba kimoja cha kuanzia maisha. Baadae nikipata pesa zaidi ntaongezea. Nafikiria pia baadae niipandishe iwe ghorofa. Ningependa kufahamu process nzima ya ujengaji wa...
kiwanja kipo mbezi mwisho,mita 800 kutoka barabara ya zamani ya morogoro kinaukubwa wa mita 70 kwa 25,pia kuna nyumba ya vyumba viwili yaani bedroom na sittingroom na chumba kimoja cha...
Habari
Viwanja vinauzwa Morogoro njia kuu
ya kuelekea Dodoma, baada ya mita 100
kutoka mizani. Unaingia upende wa kulia
kama mita 600.
~ Viwanja vimepimwa na ukinunua utakuwa mmliki wa...
Heshima zenu ndugu..
Kwa jina naitwa Amani.megraduate mwaka jana Bachelor of Accounting..Changamoto za maisha zimetanua mawazo yangu na kufikiria kufanya a small busness ambayo nauhakika...
Hivi sisi watanzania lini tutajifunza ku value thamani ya mteja ? Hasa hizi bank hawa waajiriwa hua wanajisahau na kufikiri hizo pesa na kila kitu ni vya kwao na kua na nyodo,CRDB unaripoti tatizo...
habari zenu wadau mimi ni mjasiriamali nifanyae shughuli za upasuaji mbao zilizo na ubora.na bei ni nafuu sana karibuni sana
kwa mawasiliano zaid
luwumba2013@gmail.com
au
utaliijackson@yahoo.com
Africa means business. The past decade has seen an enormous number of mega-corporations emerge on the continent. However, a vast number of these companies are run by foreigners. For example...
Natafuta mtu wa kuniuzia maziwa ya makopo , kama vile NIDO, LACTOGEN ( No 1, 2)
Nahitaji kwa bei ya jumla ambayo, nami nitauza kwa wauzaji , wenye maduka ambao watauza kwa walaji.
Mwenye nayo...
Nahitaji kuimport pikipiki moja toka china, mpya yenye cc150. Bei yake c&f ni Usd 800. Kwa mwenye kujua eti yaweza kuchukua ushuru kiasi gani? Naomba msaada.
Wanajamvi kwa wale wanaotumia gari za kimarekani aina ya ford exploler ya mwaka 1998 na hawana vipuli vyake..gari ipo haitembei lakin inakila kitu chake, unaweza kuinunua na ukaitumia kama spare...
Kampuni yetu inahusika na kufanya matangazo online. Kwa sasa LinkedIn inalipa sana because most professionals like managers, directors, MDs and CEOs ambao ndio wenye hela ya kununua bidhaa wapo...
Mimi ni Script,Story writer na Actor! Nina story nyingi na nzuri ambazo zipo kwenye mfumo wa Script tayari, tatizo mtaji kama kuna mtu ana idea ya kuwekeza kwenye Film inderstry ani PM tafadhari...
Nauza samsung portable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi...
Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed !
Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya !