Shamba lipo karibu sana na barabara kuu itakayopitishwa lami kutoka mwasonga kwenda kimbiji na pia ni karibu na kiwanda cha cementi kimbiji. Wajanja wenye maeneo karibu na hili eneo wameshaanza...
Habarini wadau wa JF.
Heri ya mwakavmpya 2014.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali ndi nimehamia dodoma.
Je kwa mtaji wa 2m naweza kuanzisha biashara gani hapa mjini dodoma?
Mawazo yenu ya muhimu...
Nawasilisha jambo hili ili mtu au taasisi yoyote yenye kuguswa nalo atutafutie majibu au afuatilie nini kinaendelea bandarini na idara ya forodha ya TRA. Kwa muda kama wa mwezi au zaidi kumekuwa...
For filtration solution, parts and oil please visit: Tracto Co. (Tanzania) Ltd
For Heavy equipment hiring visit: KukuNzito |
We are in the business of supplying fleetguard filters...
Naomba kuuliza kwa wenye ufahamu ama uzoefu na ufugaji
Nina banda la kuku wa,kienyeji ni naowafuga kwa kisasa , swali langu ni kuwa je humo ndani naweza weka kibanda kidogo cha sungura? &...
Jamani tutibiwa hadi lini? nimejiunga kwenye bundle ya airtel ya sh. 600 kwa siku lakini ndani ya masaa 12 wamenikatia huduma wakati hata sikusurf!!! Duh! sasa nauliza siku maana yake ni masaa...
Ndugu wana jf natafuta pump kwa ajili ya umwagiliaji. Iwe na uwezo wa kusukuma maji zaidi ya mita 700 kutoka mtoni, mwinuko wa shamba sio mkubwa sana ni mwinuko wa kawaida. Kwa mwenye nayo...
Ningependa kujua jinsi ad business inavyofanya kazi, naomba mwenye details ani pm tuwasiliane. .Naamini jf ni site pekee apa tz ambayo ukihitaji msaada lazma kutakua na mtu wa kukusaidiai,
Hello, I have a webbased software, with which i have a project that can raise up to 40M Tsh or more per month.
The software works with Mobile phones.
The investor will be required to pay for the...
Habari wana jamii, naomba kama nitafanikiwa kupata agent au mfanyabiashara yeyote wa taski za maji (preferably Polytank) anikopeshe nilipe 50% mwanzo, kisha 50% inayobaki nilipe ndani ya miezi 3...
MAENEO YANAUZWA, UKIHITAJI TUWASILIANE.
1. MTO WA MBUU, KAMBI YA MKAA, KUTOKEA KIGONGONI, KARIBU NA OLUNOTO HOTEL.
Ukubwa ni ekari saba na zaidi. Linafaa kwa ujenzi wa Camp Site au Hotel ya...
Hi wanajamvi..kuna event tunaandaa na tunafikiria kuwainvolve wajasiriamali vijana waliokwishapata mafanikio ktk umri mdogo atleat wasiwe wamezidi 40 years hivi, hawa vijana watasaidia kuwainspire...
$523 million Dar port deal takes a new twist
"We want also to know why our neighbours spent much less than what has been quoted by the Chinese firm."PHOTO|FILE...
natafuta sponsor ili kupublish ma book plz....kitabu kimepitiwa tayari na profesa wangu na ameshauri kinaweza saidia sana ktk mitaala ya elimu tz....ni kitabu kizuri kwa kweli...naomba...
ENHANCE YOUR VEHICLES PERFOMANCE WITH IMAXX
- We invite agents from all over Tanzania for our brands to visit our office to apply for distribution
JSON INVESTMENT LIMITED
DAR ES SALAAM
KIMWERI...
Kabla ya mwaka 2009, pori la selous kanda ya utalii ya Matambwe, Ilikua ikikusanya zaidi ya 10mil kwa mwez kutoka kampuni ya ndege ya caastal, ikiwa kama landing fee.Fedha hizo zilikua zikitozwa...
NIwahi sema tanzania haina hazina sana ktk kuanzisha jambo(kuanzia biashara hadi taasisi),waliopo wote wakiona mafanikio kidogo wanataka gawana,eti njaa zimezidi, na wafikiri kuwa wanahitaji...