Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ukitaka mikataba ya nyumba,ya maduka na mauzo ya nyumba mashamba na mengineo kwa she 50,000/= Tu piga simu 0714064767
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mwenzenu nataka kununua pikpik, nina milion moja na aki tano, nataka mpya, je nitapata wapi na ni aina gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania Revenue Authority (TRA) When government officials go to sleep at night, rogue exporters seriously embark on business ventures to escape export levy, The Guardian can report. Most of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajukwaa, kwanza nawapa pole sana kwa majukumu mengi na magumu ya kulijenga Taifa Letu, ambalo mpaka leo linaitwa Taifa changa. Pamoja na hayo yote, tumezidi kushuhudia jinsi nchi...
3 Reactions
2 Replies
915 Views
Mahojiano ya lijue soko la hisa #01 Mahojiano ya lijue soko la hisa #02
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina vifaa vya solar ambayo vinaweza kuzalisha umeme wa Watts 400 ambao unatosha kuanzisha kituo cha Biashara ya kuchaji simu, kuonyesha TV/Video, kinyozi nywele, kuchapa barua na kuingiza miziki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimejaribu kufikiiri kwa hasa suala la hela kutokua na thamani mfano sh 10000 ya sasa si ile ya enzi zake hii haina maana kua maisha yame'advance BIG noo!!!!!! Nikiachana na hilo ntaipongeza...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Kwa kuwa tumeshajenga mazoea kwamba ikifikia xmass mnaita potential customers na kuwapa zawadi ya "madaftari" lakn mwaka huu naona kimya My Take; Bora tu mkaushe maana niligombana na customer...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisaidie taratibu za kusajili kampuni mana mi sielewi taratibu zikoje.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, naomba kujua makadilio ya gharama ya fundi kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 4, kiwanja kina mtelemko kidogo. Thanks
0 Reactions
7 Replies
4K Views
UPDATE: 25/12/2013 Jamaa ana Nafasi mbili kwa option number 2 (500GBP), toka jana. Leo na kesho yuko mapumziko, ijumaa sjui kama bado atakuwa nazo. Kwa walioonesha interest inbox wanijulishe...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi. Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Wakuu mnaonaje biashara ya mterial za shule kwa hii january! Kama vile mashat ya shule madaftari,soksi na viatu, masweta? Inaweza kutoka na itahitaji kiasi gani cha majadirio ya haraka. Msaada wakuu.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mm nimegraduate mwaka huu nikapata pa kujishikiza,nimesave kile chochote nilichokua napata hadi nimefikia m1! Sasa nataka huu mwaka mpya nianze biashara! Nimewaza swala la pikpk naona zipo nyingi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndugu zanguni naomba ushauri ninashida na tablets na nimeziona ebay bei yao nzuri sana,sasa naomba mtu anipe ushuhuda juu ya uhakika na security ya my money kama nikiwatumia, mzgo ntaupata coz...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wanajamii, hope wazima! Sasa nipeni usaidizi, mdogo wangu anataka kuanzisha bizines ya stationery ikiwemo yakutengeneza invitation cards,sasa nikamshauri kutafuta printer kubwa yenye uwezo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari.nauza mbegu za pelege yani tilapia ni size ya kati sh 200 kila samaki.ni kwa wanaotaka kufuga.karibuni
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Welcome to TanzaniaPage tradecarview is One of the Largest Automobile Site in JAPAN. The Import RegulationShipping Destination portsDar es salaam/ Mombasa Age restriction10 years old from the...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The challenges of boosting Tanzania's rice productionBy Marie Keyworth Business reporter, BBC World Service, Tanzania Only commercial farmers can afford expensive equipment to help boost output...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
habari wanajukwaa,ningependa kujua soko la alizeti linapatikana wapi na bei. Je, ni aina gani ya alizeti ambayo ni nzuri nyeupe ama nyeusi. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…