Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.
Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:
1.Mary Msimbila...
We are authorised agents of AzamTv. we are located at Magomeni mapipa Idrisa street you can call 0655957555.
A set is sold at 135,000/= plus 12,500/= subscription fee.
It includes a decoder, a...
NMB ni Benki nzuri iliyoenea Tanzania na kwa maana hiyo ni kimbilio la wananchi wa kawaida na wenye kipato cha chini. Pamoja na hayo kuna baadhi ya kero ambazo si za lazima lakini baadhi ya...
Tanzania Revenue Authority(TRA) informed the POAC that Tanzania lost USD 308m as Tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to Bharti Airtel.
How we lost the Revenue:
*TRA argues...
How To Start Your Business Without A Loan
Interested in starting your own business but hesitant to take out a huge business loan? While it can be difficult to start a company with little capital...
SMS ni njia ya mawasiliano. Tunazilipia hizo sms kwa kutambua kuwa ni kitu muhimu kwa mawasiliano. Lakini nadiriki kusema VODACOM wanatusumbua wateja kwa kutumia misululu ya SMS za matangaso kwa...
Ndugu wana JF ninaomba kama kuna mtu/watu ambao wako tayari kushirikiana na mimi ili tupate product made in Tanzania by tanzanian na iwe katika standard za viwango vya ulaya ili tukauze Ulaya...
Naomba Ushauri wa eneo la biashara, nina vifaa vya solar PV ambavyo vinaweza kuanzisha biashara ya business center Itakayojihusisha na kuchaji simu, kinyozi, kuchapa barua, kuburn CD, TV/Video...
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, tunakukaribisha kufanya biashara nasi. Wewe ni mfanyabishara, unataka inua biashara yako, unataka kupanua mipaka ya biashara yako,unataka bidhaa zenye...
Mimi Ni Kijana Wa Miaka 25 Nina Eneo(kiwanja) Limepimwa Na Nipo Katika Hatua Za Mwisho Za Kufuatilia Hati,
Nahitaji Kutumia Hati Yangu Kuchukulia Mkopo Ili Niboreshe Frem Za Biashara Zilizopo...
mmoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD...
Viongozi wote wanaweza lakini wewe umewazidi kitu kimoja UZALENDO. ili hao wenzako wenye mahisa mazito katika makampuni ya usafirishaji wanaoumiza kazi nzuri ya mzalendo mwenzako Dr. Magufuri...
Naombeni msaada wa ku calculate kodi za hili truck kutoka uingereza hadi lifike mikononi mwangu
IVECO 7.5 TON
Cc 3920
Cif appr. £6200
Ni la mwaka 2000
Please help me na natanguliza shukrani.
Wapendwa habari za majukumu.Jamani natafuta tractor MFused Hp isiwe pungufu ya 70.Kama kuna mwenye nalo au anayeweza kunisaidia kulipata nilinunue naomba msaadaTafadhali ni PM.
Salaam wakuu,
Magari yamekuwa gharama sana kuwa nayo,lakini ni jambo la kusikitisha, mtu bora akuibie kwa njia nyingine na si kukuibia na kuliharibu gari lako.
Janga hili nimeona niwaeleze,kila...
ndugu,
kama una biashara maeneo ya mwenge na sinza, tunakukaribisha kutangaza biashara yako kataika kijalida chetu cha matangazo kinachotolewa na Carepoint PhotoPlus studio.
biashara hizo...
Salamu kwenu wakuu, tumshukuru Mungu kwa kutufikisha mwisho wa mwaka, nasi tupige mahesabu yetu, tumefanikiwa kwa kiasi gani?
Swali langu, nataka kufungua Salary Account huko Stanbic Bank, kuna...
jamani naombeni mnipe mwongozo nataka kuanza kulima mananasi maeneo ya kiwangwa kati ya bagamoyo na msata kwa hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anajishughulisha na huo mradi anishirikishe kuanzia...
Wadau,
Habari zenu?
Naomba msaada wenu, wapi naweza kupata/ ni nani anaweza kunisaidia kupata program/ software ya kutumia ktk Duka la Dawa kwa ajili ya:
1.Stock control (drug group, generic...