Sole survivors from the ancient Greek-listed Seven Wonders of the World, the amazing pyramids at Giza are the planets oldest tourist attraction! Known as Cheops, Chephren and Mycerinus, the...
Wakuu kichwa cha habari chajieleza nimejaribu kuwatafuta kwenye website yao ila haifunguki so mwenye anajua office zao ziko wapi au akanipa hata namba zao za simu nitashukuru.
WAPENDWA NAOMBA MSAADA. NATAKA KUAGIZA VIDEO CAMERAS AMBAZO GHARAMA YAKE NI usd4080. LAKINI KABLA YA HAPO NATAKA KUJUA tra WATATAKA KIASI GANI? NAOMBA MSAADA MAANA SIJUI MAHESABU YAO...
Wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania wametoa taarifa kuwa kati ya July 2012 na Novemba 2013 wamekamata madini yenye thamani ya shilingi 15billion yakitoroshwa kupitia viwanja vya ndege.
Ukaguzi...
Habari wana jf! Naomba kwa anae jua kuhusu bei halisi ya pikipiki aina ya boxer na fekoni kwa sasa pamoja na leseni kila kitu mpaka kuimiliki kwa matumizi inagharimu shilingi ngapi? Pia naomba kwa...
wanandugu,
hope you are doing great,
our studio known as CarePoint PhotoPlus is about to start at Makumbusho in Dar.. I am in need of the following:
POSING FURNITURE:a posing...
Wamezuka watu wanapiga simu na kusumbua kwamba wanauza kemikali mbalimbali za kusafishia maji. Kuweni macho nao. Naamini namba za mawasiliano wanazipata sana katika stationery ambako watu...
Habari Wadau.
Nna wazo la kufanya biashara ya usafi kwa maofisi kwa kufungua kampuni ya usafi. Naomba mchango wenu wazoefu wa biashara hii hasa uendeshaji wake na jinsi ya kupata clients...
Ndugu wana jamii nina mpango wa kuhamia morogoro naninahitaji kufanya ujenzi vivyo basi nahitaji kiwanja kitakacho kuwa na ukubwa wa "low density" na huduma za umeme na maji pia viwepo.
Wadau
Nafikiria kununua shares za Fastjet. Kwa fikra zangu ni kwamba hii kampuni inakuwa kila kukicha wateji wengi kwa kuwa ni budget airline. Sasa wameanza safari za South Afrika na Mbeya hivi...
Habari wakuu.Mwenye information namna ya kuendesha biashara ya butchery, gharama za kuanzisha, Faida yake ikoje na mambo gani ya kuzingatia.Msaada wakuu.
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013...
Naona kuna wigo mpana umesahaulika...hebu tujikumbushe
Kodi kwa minara ya simu na yamatangazo ya redio na Televisheni,hakika hili ni eneo jingine ambalo mapato yake yanapotea na ukizingatia ni...
Habari! Kama unatafuta nyumba ya kupanga au kununua maeneo ya mikocheni, kijitonyama, makumbusho, mwananyamala mbezi, usisite tuwasiliane kwa namba
0716 85 06 95
Ili niweze kukuwezesha...
Wakuu jamvini naombeni msaada wenu.
Nataka kupata Mining Licence (wenyewe wanaiita PML) ya kitalu cha Copper huko Ruangwa, Lindi.
Naomba mwenye kujua utaratibu anisaidie njue pa kuanzia na...
habari zenu wakuu..
naomba ushauri juu ya uchaguzi wa magari haya ...yani kati ya toyota corona na toyota vitz.
kutokana na kipato kidogo ndugu yangu ameamua kuniuzia kati ya hayo magari..,kwa...
Wakuu natumai hamjambo nilikuwa naomba msaada wa kujua jins ya kuagiza gari kuanzia jinsi ya kulilipia na malipo litakapofika hapa tz Garama za TRA .Engene capacty ni cc 2360 na ni la mwaka 2001...
Heshima kwenu mabosi zangu.
Wakubwa nina nyumba nilijenga miaka michache iliyopita lakini kumekua kuna nyufa moja inajitokeza mara kwa mara.Nimeshapata watu wakisema ni wataalam wa kudhibiti...