Wana jamvi,nawasalimu wote kwa moyo wa upendo.
Niko ktk hatua za kusajili kampuni LTD makao ni mjini Tanga, natarajia kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za nyumbani kwa jumla.
Kwasasa...
In the year 2012 Tanzania was awarded a 7th position in 45 Top destinations to Visit. Almost 45 percent of Tanzania's land is covered with Game reserves and National Parks. The Country has 16...
Tunatoa huduma ya kunatengeneza database system kwa ajili ya kutunza BUSINESS RECORDS katika biashara kubwa na ndogo kwa bei NAFUU.Achana na njia-kabisaya kizamani yakutunza -business records zako...
Wadau JF,
Tunatoa huduma za kutembeza watalii wa nje na wale wa ndani wanaopenda kutembelea mikoa ifuatayo Arusha,Tanga,Kilimanjaro/Moshi,Morogoro,Dar es salaam,Mwanza na Zanzibar.Tunakutembeza...
We offer and organise Kilimanjaro Climbs , Mt Meru Treks , Mt Kenya Treks and Wildlife Safaris to all Tanzania National Parks lekenadventure .com +255753775849
NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then...
kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa...
Habari wadau
Kwa mwenye ufaham na haya magari je yanawezekanika kwa mazingira yetu? spea zinapatikana? Gari kama
2​0​0​4​ ​A​l​f​a​...
Ngorongoro Crater the Largest Volcanic Caldera in the world has many things attractive besides that. You can enjoy the view of the Big Five and 400 Species of Birds plus Black rhinos which form a...
Nataka kununua photocopy machine ambayo itadumu na haitanipa shida
sijawahi kutumia na sijui nzuri ni ipi
ila ninahitaji medium size maana sina hela ya zile kubwa ninazoziona kwenye biashara za...
kwa muda mrefu nimekuwa na shauku ya kufanya biashara, hapa nilipo nina mtaji wa milioni moja. kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa. naombeni ushauri kwa pesa hii nifanye biashara gani...
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda...
Naomba msaada wa kuelewa sheria ya nchi inasemaje kuhusu utaratibu wa kuhamisha hisa za kampuni "incorporate under the companies ordinance (Cap. 212). Kampuni ni Ltd.Naomba msiniambie ulizia...
Kampuni ya Mabasi ya SUMRY iliyotamba miaka ya hivi karibuni baada ya Mheshimiwa kuteuliwa kuwa Kiranja Mkuu sasa yapo hoi baada ya KIRANJA MKUU kutoa hisa zake huko sasa kampuni inapumulia...
Lake Natron is the only breeding ground in East Africa for 2.5 million Lesser Flamingo. The lake is a safe breeding location because its caustic environment is a barrier against predators trying...
Habari wanaJF,
Tafadhali mwenye kuweza kunipa mwongozo wa namna ya kupata used engine katika excellent condition anijuze.
Kwa sasa mwenye taarifa zozote naomba aniPM
Shukrani nyingi...