Habari wandugu, me mwanamke mjasiriamali nipo dodoma huku na biashara zangu. Kuna jambo nimekwama kdgo ndugu zangu naomba mtu aniazme laki3 dhamana yangu cm ya galaxy Ace . Unanipa pesa hyo...
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila...
Wadau wanauliza kama kuna uwezekano wa kupata gari used ya kubebea mizigo ya kununua kwa njia ya instalment (malipo kidogo dogo) kwa hapa Tanzania
Naitajia naombeni msaada wenu
Kwa wale wadau ambao mmeshawahi kutumia hizi gari tafadhali naomba technical advice and approach between these 8 pieces hapa. Kindly advise tafadhali which one I should take. First image is Suzuku...
The Government is seeking separate consultants for two multi-billion shilling infrastructure projects to be implemented under Public Private Partnership framework.
In newspaper notices yesterday...
Maana ya huu msemo ni kuwa wakati unaposhindwa kumuamini mtu kuna taratibu za kufuata ili uweze kufanya biashara nae na mtu wa namna hiyo na si kumkimbia maana inawezekana Yule unamkwepa ndio...
Iwe na vyumba vitatu vya kulala na kimoja wapo kiwe ni masterbedroom, jiko + stoo, living & dinning room na choo/bafu la public.
Naomba msaada wa kuchanganua gharama ya kuijenga nyumba kama...
Ndugu,
Kila nikipita eneo la Mchikichini na kuona hali ya jengo la Machinga complex napata shida sana kuamini.
Ukiondoa siasa, ni kweli lile jengo lina-generate pesa kufidia investment...
Habari wanajamvi,
Nimepokea pesa toka kwa mdau mwenzangu aliyepo ughaibuni (CANADA).
Tatizo ni jinsi ya kuitoa hiyo pesa maana haijapitia Mpesa, wala Western Union, na sms iliyoingia kunijurisha...
Wakuu,
Hii Bank yetu tunayojivunia kuwa inafanyabkazi vizuri naona sasa imeanza kuwa na tabia za kizamani. Nimeingia Bank saa 7 mchana kwa nia ya kupata huduma ya fasta na kutoka lakini hivi...
Nina biashara na leseni ya biashara.Pia ni mlipa kodi TRA.Nataka kutoa huduma kwa mashine za maxi malipo natakiwa kufanya nini?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Waungwana
Habari za asubuhi? Natumai wote hamjambo.
Kuna kampuni ninataka kufanya nayo biashara. Wanaonekana kuwa "genuine" lakini nimefanya utafiti juu yao kwenye Google jana. Kampuni inaitwa...
Nataka kununua king'amuzi,mwenye ufahamu kuhusu kipi ni safi,,,,na bei ake anijuze.
Onyo: Sio cha dstv,,,,ni kati ya startimes , zuku , continental na ................
wana jamii hii imekaaje
=================
2 Sep 2013
Africa's vast, under-exploited mineral wealth is attracting a surge in interest, with more than 2000 delegates attending the Africa Down...
Habari wanajamii hasa jukwaa hili. Ninahitaji ushauri toka kwenu juu ya ujenzi hapa Dar es salaam. Nyumba ya vyumba vitatu seating rum, jiko, public toilet na katika vyumba vitatu kimoja kiwe...
Hello JF members I salute!
I,ve been seeing a lot of adverts here at JF platform from real properties to personal properties like cars e.t.c, e.t.c
The recent one is from the New JF member...
How Development Banks are Using PPP To Carve up the Arab Spring Countries
A new report takes a critical look at the engagement of European development banks in Egypt after the popular...