Kampuni ya microsoft imeinunua kampuni ya simu ya nokia na haki zote za kampuni hiyo. Zaidi ya wafanyakazi 32,000 wa nokia wote wataajiriwa na kampuni ya microsoft...
Are you in need of a custom software to run your bussiness?? welcome at CREATIVE LAB(T) LTD
We have bulit an easy to use software for you.
For more Info : contact us via info@creativelab.co.tz
Maoni ya Katuni
Mara nyingi mwananchi wa kawaida hawezi kuelewa dhana ya 'kukua kwa uchumi wa nchi' wakati maisha yake yanabakia kuwa magumu kutokana na gharama za bidhaa muhimu kuendelea kuwa...
Habari wana jamvini,
Napenda kujua kama ni kweli hizi biashara za mitandao zinazofanywa na kampuni kama Forever Living na GNLD zinaweza kumkwamua mtu kimaisha.
Kwa wale mliochoka kuamka na kukuta wezi wameruka ukuta wako na kuiba ndani mwako wakati mmelala au mmeacha nyumba haina mtu, 255 System inakuletea electrical fencing imara na za kisasa,pamoja...
Wana JF,naomba mnisaidie anayefahamu mnunuzi wa asali kwa jumla,au anayenunua asali . namba zangu hizi hapa 0717 796 234 au 0653 38 22 44 au 0719 647 947,niko Dar .any time...
Wakuu heshima kwenu,
Nina cash 10 million tshs,naombeni mnisaidie wazo la biashara,nitashukuru mawazo na mchanganuo wenu,nipo tayari kufanya hiyo biashara kuanzia mwezi huu na mkoa wowote.
Mimi nikati ya mteja wenu wa kudumu na ndivyo nitakavyozidi na siku zote napenda huduma zenu,but takriban ndani ya kipindi cha miezi kama sita mtu unajiunga na cheka ya 1200 au 900 unashangaa...
Salama wana JF , naomba kuwasilisha. Weekend hii katika mapumziko nilionelewa ni download some series. So nilinunua Vodacom bundle ya sh 12,500 ambayo ni package ya Internet bila kikomo kwa wiki...
Kwa wale wataalamu wa masuala ya Bima za magari nawaomba mnijuze.
Jamaa yangu amenunua gari mkononi mwa mtu, gari yenyewe imelipiwa bima premium ambayo inatarajiwa kuisha mwishoni mwa mwaka huu...
nimekuwa nikifatilia kuhusu bidhaa zinazotengezwa ndani.
Kwa kiasi kikubwa wajasiliamali wanalalamikia soko dogo na waelekeza nguvu zao katika soko la dunia na nchi za ulaya.
NI UJUHA KUFIKIRI...
Nina biashara ndogo ya stationery.(ina miezi minne sasa) Nahitaji kukuza biashara yangu iwe kubwa zaidi. Ni benki gani inatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo kwa riba nafuu?
Mara ya mwisho kuisikia kampuni ya simu za mikononi Zantel ni sehemu ya pili ya mwaka jana (June- December 2012).
Matangazo yake ya biashara niliyasikia sana eg 'Twanga kotekote' na Epiq Nation...
Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.Nikiri kwamba nilipoanza...
Jamani habari zenu
Naomba kusaidiwa juu ya hili swala naona humu kuna wataalmu mbalimbali.Tunajua kwamba Tanzania hakuna sheria inayoruhusu mwananchi au mgeni kununua ardhi moja kwa moja ardhi ni...
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii, kama anaweza kuwasiliana na mimi kwa nambari 0712 464 666 sio mbaya.
Napenda kujua aina ya mninga inauzwaje dar es salaam kwa bei ya jumla ili...
Habari Wana-JF, mimi nina azma ya kutengeneza bidhaa hivi karibuni. Bidhaa na utengenezaji wake, unahitaji pia utambulisho.
>>Ninaomba ufafanuzi, bei ya kutengeneza, na tofauti, kama ipo, ya...
Bandari ya Jabel Ali anapokea na kutoa makasha ( container) 1,333 kwa kila lisaa limoja, Inachukua muda wa dakika 20 tu kuondoa mzigo katika bandari ya Jabel Ali na kuuhamishia katika bandari kavu...