Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nashindwa kuwaelewa ndugu zangu wa NMB, wakati huu wa kukua kwa teknolojia wao ndio wanarudi nyuma kwa kasi hususan kwa huduma zao za mobile, huwezi kuwa na hakika ukiaccess akaunti yako kwa simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu amenifata kuomba ushauri kwamba yeye ana gari aina ya toyota RAV4 ya milango 5 mwaka 1998,ambayo imeshatumika hapa tz. kuna mtu kamfata kwamba wabadilishane na toyota IST ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This international convention center in Dar es Salaam, Tanzania, was built with Chinese aid. The photo was taken March 25. (Atsushi Okudera) May 29, 2013 By ATSUSHI OKUDERA/ Correspondent DAR...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Habari zenu wanajamvi. Nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona kuwa kumbe kuna madiki ya kaolin yanachimbwa kule kisarawe. Sasa nikawa unterested na biashara hiyo ila sielewi inafanyikaje. Ningeomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA UFUPI Yadaiwa kuingia kupitia Zanzibar hadi bara ambako inauzwa kwa bei ndogo kuliko inayotengenezwa nchini Tanga. Serikali kila mwaka inapoteza Sh15 bilioni kutokana na kuingizwa nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa anayefahamu kampuni yenye good sales training program
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Posted Alhamisi,Mei30 2013 saa 21:7 PM KWA UFUPI Kufuatia utafiti uliofanywa , inadaiwa madini yaliyochimbwa hayafikia hata asilimia kumi. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi hii nimeipata Leo hi kwenye mkutano wa wadau, mwasilishaji mmoja kawasilisha mafanikio ya maradi Fulani wa Kilimo, katika kuonyesha mafanikio kaambatanisha picha ya shamba la...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
wadau nina kacorola kangu E100 kameisha hii kitu inaitwa Road licence tangu tar 24 May 2013 nataka kwenda kulipia upya je kwa uchelewaji huo mdogo nitapigwa penalty? au? na kwa sasa gharama kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
FINACIAL TIMES; May 29, 2013 7:58 pm Switzerland outlines plan to relax bank secrecy laws By James Shotter in Zürich Switzerland has taken a decisive step to resolve its dispute with the US...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Jamani nataka kujenga kwa Mkopo toka Bank...hiii kujenga kwa pesa za kuunga unga naona sitaweza na mambo yanabadilika, naombeni ushauri wenu ni wapi naweza pata mkopo wa Nyumba kwa at least...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Nipo Arusha Naomba kujua ni wapi nawezapata DvD za kiswahili kwa ajili ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa mazingira.zinazoelezea mambo ya defforestation,climate change,overstocking,illegal...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Wana JF, Tanzania yetu hii jamani ina mambo, Tokea Majuzi kumekuwa na kasheshe la kufumuka kwa tozo la kodi hapo bandari dar-es-salaam, Kwa wafanya biashara wengi wamekuwa wakilia sana esp wale...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshma mbele essay. nimenunua gari ZNZ nataka kulileta Dar. Je ni gharama zipi ikiwa ni pamoja na ushuru wa TRA nitalipia?. Mdau mwenye taarifa na hii kitu anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza Ucommunist...
57 Reactions
318 Replies
31K Views
Habari! Naomba kujuzwa gharama ya shamba la eka 500 na sehemu nayoweza kupata (Ni kwa ajili ya kilimo hasa vitunguuu na vitunguu swaumu) Asante
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, nakuja leo tena naomba msaada nahitaji kufahamu taratibu na gharama za kusajili kampuni Brela. Makao yangu ni Tanga mjini. Ninataka kuanzisha kampuni itakayo fanya shughuli za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Tahadhari kwa mawakala wote wa Tigopesa Wezi kwa kushirikiana na wafanyakazi wa tigopesa wamekuwa wakiwaibia mawakala wa tigopesa kila kukicha. Wiki iliyopita maeneo ya Kimara mtu mmoja kwa Jina...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…