Wakuu nina rafiki yangu anataka kununua toyota noah (family car). Amekuja kuniomba ushauri lakini na mimi ni mtupu kuhusu aina hii ya magari. Mwenye ufahamu jamani tunaomba ushauri kuhusu hizi...
Habari yako mwana-JF?
Nataka kujihusisha na ukopeshaji wa fedha kwa ngazi ya chini (yaani Tshs. 50.000-Tshs.200,000), ningependa kujua kwa ukopeshaji huu, ni utaratibu gani utumike ili nifanye...
TCRA YACHACHAMAA NA KUDAI KUWA ITAWASHITAKI WATANZANIA WOTE WANAOTUMIA LINE BILA KUSAJIRI
Watumiaji, watoa huduma, wakala wa makampuni ya simu za mkononi na wananchi kwa ujumla wamekumbushwa...
KUNA msemo wa Kiingereza usemao, "Hakuna mtu mwenye tatizo la fedha, bali tatizo ni kukosa wazo litakalomuwezesha kupata fedha.."
Hilo ndilo linaitwa wazo la biashara. Ni ukweli ulio bayana kuwa...
Ndugu zangu Watanzania
Naomba msaada wa kujua vyama vya wachimbaji madini wadogo wadogo (Association of small scale mines), hata kama hujui vyama vyao ila kama kuna eneo lenye wachimbaji wadogo...
karibuni sana
Malaika Media
Namanga- Tranic Plaza (behind Best Bites) same complex na nyumbani lounge
0714 021 078
for all you graphic and nimation works, Television and Radio Adverts...
Wakuu, Salaam
Kwanza kabisa napenda kutanguliza pongezi kwa jukwaa hili kwani limekuwa likitoa chachu kwa wawekezaji, wajasiliamali, na wafanyabiashara
leo nina mada ambayo nimeona sio haba...
Heshima kwenu wakuu!
Hivi ni wapi naweza kupata bodaboda nzuri na kwa bei rahisi hapa Dar?
mwenye taarifa anijuze pls. nataka kununua wiki hii. nataka kuwekeza kidogo kwenye nyanja hiyo.
asanten.
Wakuu wasalaam,
Ktk majukwaa hapa JF yanayojenga na kufundisha hili ni moja wapo kama sio linaloongoza. Big up all Business & Economic forum members.
Sasa nirudi ktk mada, mimi ni kijana wa miaka...
Tuliwahi kupost habari ya hii kampuni kuja mjini Arusha na kufanya kazi kama DESI. Chanzo cha habari toka maeneo ya Kijenge makao makuu ya hii kampuni ni kwamba inadaiwa na zaidi ya wateja wake...
The Most Successful Leaders Do 15 Things Automatically, Every Day
-A
+A
By Glenn Llopis | Forbes Sun, Apr 14, 2013 4:52 PM EDT
Email
Recommend
2.7k
Tweet
442
Share...
World Economic Forum Hits Tanzania on Corruption
Corruption remains a major concern for foreign companies and investors in Tanzania, the now famous World Economic Forum Global...
Hapa Tanzania mnada umekua ukifanyika pale mtu anapo shindwa kulipa deni.
Kawaida kila mtu anakitu ambacho angependa akiuze kwasababu moja au nyingine. Inaweza ikawa simu, laptop au kitu...
Hi wanajamvi, mi kuna kitu huwa kinanisumbua kwenye huu ujarisiamali, yaani utakuta mtu anakuomba quotation lakini hakupi kazi, najua sometimez unaweza ukawa higher/yani bidder wa juu kibei nk...