Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Farsa kwa wale wa maduka na mitaji midogo Karibu sana
1 Reactions
0 Replies
135 Views
Habari za jioni Watanzania Poleni na mihangaiko ya maisha Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings...
2 Reactions
5 Replies
398 Views
Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali...
5 Reactions
10 Replies
427 Views
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5. Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Je, umechoshwa na njia za kawaida za kutangaza bidhaa zako ambazo zinakula bajeti yako na kukupatia matokeo kidogo? Je, unataka kuwa na mtandao mkubwa wa wateja ambao wapo tayari kuvunja kibubu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf nahitaji mpishi wa bites akiwa wa kiume ni vizuri zaidi ofisi ipo kibaha visigakwa mawasiliano zaidi 0772348885
2 Reactions
0 Replies
193 Views
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Iko hivi; Kuna dada fulani hivi tuliwahi kufahamiana huko nyuma, alinipigia simu na kunijulisha kwa kina kuwa kuna mchongo fulani hivi kashawishika kujiunga nao ni wa Q-net. Wenyewe unatakiwa mtu...
18 Reactions
101 Replies
13K Views
Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata...
44 Reactions
187 Replies
59K Views
Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na...
15 Reactions
75 Replies
5K Views
Habari za humu ndani, Napenda kwenda kujitafuta katika nchi ya Bahamas msaada pls anaejua kuhusu hii nchi
0 Reactions
5 Replies
987 Views
Salaam Wanajukwaa Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk.. Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili 1.Saloon ya...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo...
1 Reactions
5 Replies
664 Views
Ndugu zangu poleni kwa majukum ya hapa na pale, Naomba niende kwenye point Moja kwa moja Ktk pita pita zangu za hapa na pale nilijikuta nikizunguka ndani ya mkoa wa Manyara, Manyara ni moja ya...
8 Reactions
80 Replies
24K Views
wakuu habari zenu, Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika. Huwa natumia...
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi nina mtaji wa laki tano na boda mpya Iringa. Nifanye biashara gani nipate hata elfu 30 kwa siku? Msaada wenu.
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…