Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana JF,Natafuta SACCOS niwe mwanachama kama mjasiriamali mwingine,iwe Dar,isiwe ya ukanda,iwe imekaguliwa Hesabu zake angalau mara moja tangu ianzishwe,ikiwa mwanachama wa NSSF,SCULT,PPF,ni vyema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Since the erection of billions-worth structure, just three days have passed when I just passed-by and got motivated to go one floor after another trying to see what could actually be taking place...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mimi bado sielewi haya maji kwa jinsi yanavyofanana kiasi kwamba yanatuchanganya wateja.Chupa zao zinafanana hadi nembo zao. kwenye maji ya kilimanjaro wameandika a product from land of...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
By Gwladys Fouche and Balazs Koranyi OSLO, March 18 (Reuters) - Statoil and Britain's BG Group plan to build a $10 billion East African liquefied natural gas (LNG) terminal well placed for exports...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Jamani mimi nafkiria kununua shamba ili nihamie Arusha nikaishi kama farmer/settler kule kama wale wa Zimbabwe au Kenya Je kuna maoni gani? Maeneo gani? nafkiria kununua shamba la eka kama 500 au...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, amebaini wizi katika zao la korosho mkoani Pwani unaofanywa na watendaji wa vyama vya ushirika na ngazi nyingine, ikiwamo wizara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii sheria ma bank yameshindwa kuitafsiri na hata BOT wenyewe ukiuliza compliance department wanailezea sivyo inasema ....... any matured or expired outstanding loan should not be extended...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo Mwanza nina 6mil ntawezaje kuendesha Mpesa au vocha za jumla na rejareja (Max malipo) kipekee kabisa?.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bandugu kuna hili tatizo la noti zetu mpya za shilingi 500, 1000 na 2000 kutokuwa durable, hili tatizo ni kubwa sana hasa kwenye maeneo yenye transactions nyingi. hizi noti zinachakaa mapema sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeambiwa eti kuna haja ya wakala,sijui advocate...sijajua bado cha kufanya
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jamvi, Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombe msaada wenu kuhusu hili,mimi ni mfanya biashara ndogo ndogo,nina ofisini yangu nimeisajili tra na nina leseni ya biashara,nina huwezo wa kuingiza laki nne hadi sita kwa mwezi je ni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamvini Oyee Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha...
12 Reactions
40 Replies
7K Views
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine. Hii ni kupotosha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, baada ya mafanikio na ushirikiano mkubwa mliounyesha hapa jamvini juu ya kijana wenu, Leo ningependa kuja na swala jingine kidogo ambalo nataka niwashirikishe. Naitaji ushauri...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…