Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.
Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee...
Waziri wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde amesema Tanzania tuitakayo Mwaka 2050 ni ile ambayo Watanzania watakuwa vinara kuiongoza sekta ya madini na kunufaika na sekta ya madini na hivyo...
Na Bwanku M Bwanku
Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa.
Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa...
Salaam wakuu,
Nijielekeze kwenye hoja.
Serikali ilikuja na Mpango mzuri sana wa kukusanya kodi za majengo kupitia matumizi ya Umeme (Luku)
Ulikuwa ni mpango mzuri sana kwakua hakuna mtu...
Jaman naomba mwenye kufahamu gharama ya kufungua saloon ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani naumba mnisaidie....
Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1...
Wakubwa mambo vip? Mwenye uzoefu wa biashara ya saloon ya kiume naomba asaidie kushare faida na hasara au changamoto kwa ujumla za biashara hii. Asanteni sana
Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha
Toleo la Kwanza, Agosti 2021
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo...
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani...
Nahitaji track suit pair 200
Umri 3-5 pair 140
Umri 6-8 pair 60
Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu
Kwa biashara call me 0687391885
Machimbo ya nguo na viatu kwa bei nafuu mikoani
Habari za muda huu wakuu,
Leo tushirikishane machimbo ya nguo za kisasa, ziwe special ama mtumba zinazouzwa kwa bei nafuu kutoka kona mbalimbali...
JF wasaalam,
Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia...
Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba...
Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo.
Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama...
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za...
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho...