Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000...
HATIMAYE Serikali imeamua kuvunja ukimya na kutoa uamuzi kuhusu sakata la umiliki wa hisa za mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuamuru wananchi pamoja...
Ipo mbagala,imekamilika ujenzi bado kupaua/kuuzeka tu. choo kimechimbwa na kujengewa. eneo linafikika ni jirani na nzasa shuleni bei ni 25 ml. dalali hatakiwi kama unahitaji nipm:help::help:
Ndugu wana JF nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusambaza maofisini na mashureni(Stationary Materials), Nimesikia kuwa inatakiwa uwe na leseni(license) ya kufanya biashara hiyo. Napenda...
Wakuu
Naomba mwenye weledi anifafanulie maana na mantiki ya Green Certificate inayotolewa na TRA, nasikia inatuumiza sana kama ilivyokua kwa Tax Holiday
The irony of low-cost National Housing Corporation houses being sold at prices well beyond the means of most Tanzanians played itself before President Jakaya Kikwete as he unveiled the...
By TIMOTHY KAHOHO Special Correspondent
Posted Saturday, December 15 2012 at 15:04
IN SUMMARY
Funds will be used for construction of railway lines, ports and roads to boost trade with...
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200.
Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo...
The Government faces difficult choices of approving the 81.27 percent increase in electricity tariffs or continue spending tax-payers monies estimated at Sh160 billion in monthly subsidies to the...
A Tanzanian expert yesterday proposed a countrywide overhaul of urban transportation planning policies and legal frameworks in a strategic move to completely eliminate chronic road congestion and...
KINDLY FIND THE ATTACHED DOCUMENT,PART 1 OF A 7 PARTS TOPIC TITLED "HOW TO START A CONSULTING BUSINESS" FROM SOTTA & PARTNERS CONSULTING LTD.
ATTEND A FULL CONSULTING SKILLS COURSE AT...
Ni vizuri kila mgonjwa sugu atibiwe na daktari bingwa wa ugonjwa huo ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wakifetha ikiwemo viongoziwetu waandamizi wa vyama na serikali hukimbilia ughaibuni...
Mo Ibrahim
By Mo ibrahim
As a native of Sudan who has spent most of my adult life in the West, I've always been aware of how ignorant Westerners can be about Africa...
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi...
NSSF ingekuwa wanafanya biashara basi ingekuwa rahisi sana kupoteza wateja kutokana na uduni wa huduma zao.
Ktk kipindi hiki cha matumizi ya teknolojia bado huduma zao ziko duni,je miaka 10...
Kuna yeyote mwenye experience ya kutoa mzigo bandarini ndani ya siku 21 bila ya kuanza kulipa gharama za ziada za daily storage fees kwa makampuni binafsi kama Azam?
Experience yangu inaonyesha...
Nijuavyo hawana pesa ya maana labda hizo pesa za post reconstruction wanazopewa na nchi wahisani na vijisenti vya hayo mafuta ya kila kukicha kuzima na kufungua mabomba
sasa je kama mimi nina...
Wadau naomba msaada,; Je ni benki gani nchini inaongoza kwakuwa na huduma bora katika maeneo yafuatayo?
1. Urahisi wa kufungua akaunti (hakuna mashartimengi). Kuna rafiki yangu alienda kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.