Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

15. SAPPI $6.57 billion Paper is still big business, but SAPPI is even bigger. Known for its giant paper-making operation, the company actually services a much broader range of industries. For...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa mdau uliyepo Dar es salaam, Mwangaza Investment ni stationary iliyopo maeneo ya Mwenge. Tunasupply reams maofisini na pia kwa watu binafsi. Ninauza reams zenye gram 80 kwa: TZS 7500/ream...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kwa mwenye kujua soko la asali mbichi au wapi wananunua kwa hapa Dar anisaidie kwani nina kama lita 300 toka Tabora.,nachoitaji kwa sasa ni wapi naweza kuiuza kwa jumla...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
taarifa kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika bei ya Umeme itaongezeka kwa asilimia 50 kuanzia mwezi wa kwanza. Sababu inayotajwa ni gharama kubwa ya kuendesha shirika, kwa kiasi kikubwa bei hii...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna rafik angu yupo uganda anataka kuleta kuku wa mayai, nyama, na mayai, sasa anaomba msaada wa vitu gani vinahitajika kuingiza mzigo kama huo, legal issues.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mengi yanasemwa kuhusu usafiri wa kampuni mpya ya ndege ya Fastjet ambayo inatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu sana.. bottom line ni kwamba wanatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu.. Kilichonistua...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
This is of great interest in regard to statistics and African economies: Lies, damn lies and GDP A woman carries fruit to sell in the market...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nimeikuta hii Reuters na yahoo news.http://pertinentkenyan.blogspot.com/2012/12/tanzanias-crdb-bank-plc-ventures-into.html Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu utoaji wa mashine ya stakabadhi/risiti kutoka TRA, Hii ikiwa ni mashine zilizoagizwa kutumika ili kukusanya kodi kwa njia bora zaidi, kwangu mimi nifikiri kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania inakabiliwa na matatizo mengi ya uchumi. Moja la tatizo kubwa linalokwamisha sana maendeleo ni hakuna utaratibu mzuri wa bank kusaidia uchumi kama ulivyo kwenye nchi zenye uchumi mkubwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara nyingi nimejikita zaidi ktk jukwaa la siasa na kuwa msomaji tu wa jukwaa hili. Hata hivyo, mada hii ya ujasiria mali iliyoanzishwa na Chasha huku mimi nikiwa mdau wa fani hiyo imeniibua ili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
On my own side i refer Kelvin Twisa and Ephraim Mafuru. These two guys they played well in communication industry whereby Twisa is mainly based on Youths as major targeted customers while...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BAR GEST KAUKUMBI VIANAPANGISHWA gest ina vyumba 11 self contena vipo 6 na vyakawaida 5 vyoo viwili mabafu 2 kwa vyumba vyanje na kaunta yanje kwajili ya bar na marekebisho yote juu ya mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TVG group (Towards Practical Poverty Eradication in Africa-Vision Group) has developed a Holistic Integrated Development Strategy (HIDS) which involves a wide range of capabilities backed with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kuna nini tena mbona mafuta hamna vituoni, sasa tutafikaje majumbani hebu tupeni taarifa kama kuna mgomo baridi
0 Reactions
0 Replies
965 Views
wakuu heshima kwenu, tafadhali naomba mnisaidie mambo yafuatayo, nataka kujiajiri katika kutengeza sabuni za kuogea, kufulia na za unga, zitokanazo na mmea wa jatropha, naomba mnisaidie 1...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii airline inaelekea kubaya esp. ukiangalia competition inayoingia nchini kwenye industry. Cancellations na delays zimezidi tena taarifa hazitolewi muda wa kutosha (say 3 or 4 hours) kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, ninampango wa kuanzisha training centre ambayo itatoa short courses mbalimbali e.g 3 months etc pia naweza tumbukiza courses kama c.p.a, csp ambazo nitakuwa na hire experts waliozipata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu jana tulikwenda ardhi kulipia shamba letu tukaambiwa tulipie 5000/= kwa kila heka, eti ni sheria mpya ya huyu mama tibaijuka. Hivi ni kweli tunataka kuibiwa? Naomba anayejua atujuze kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. Botswana 30/178 2. Mauritius 43/178 3. Seychelles 51/178 4. Namibia 58/178 5. Lesotho 64/178 6.South Africa 69/178 7. Malawi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom