Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HATIMAYE Serikali imeamua kuvunja ukimya na kutoa uamuzi kuhusu sakata la umiliki wa hisa za mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuamuru wananchi pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo mbagala,imekamilika ujenzi bado kupaua/kuuzeka tu. choo kimechimbwa na kujengewa. eneo linafikika ni jirani na nzasa shuleni bei ni 25 ml. dalali hatakiwi kama unahitaji nipm:help::help:
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu wana JF nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusambaza maofisini na mashureni(Stationary Materials), Nimesikia kuwa inatakiwa uwe na leseni(license) ya kufanya biashara hiyo. Napenda...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakati wakulima wa korosho wanahadaiwa - mganda anasema mambo poa. He makes Shs10m from cashew nuts a year - Farming - monitor.co.ug
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Naomba mwenye weledi anifafanulie maana na mantiki ya Green Certificate inayotolewa na TRA, nasikia inatuumiza sana kama ilivyokua kwa Tax Holiday
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The irony of low-cost National Housing Corporation houses being sold at prices well beyond the means of most Tanzanians played itself before President Jakaya Kikwete as he unveiled the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
By TIMOTHY KAHOHO Special Correspondent Posted Saturday, December 15 2012 at 15:04 IN SUMMARY Funds will be used for construction of railway lines, ports and roads to boost trade with...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200. Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo...
0 Reactions
91 Replies
12K Views
The Government faces difficult choices of approving the 81.27 percent increase in electricity tariffs or continue spending tax-payers monies estimated at Sh160 billion in monthly subsidies to the...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
A Tanzanian expert yesterday proposed a countrywide overhaul of urban transportation planning policies and legal frameworks –in a strategic move to completely eliminate chronic road congestion and...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
KINDLY FIND THE ATTACHED DOCUMENT,PART 1 OF A 7 PARTS TOPIC TITLED "HOW TO START A CONSULTING BUSINESS" FROM SOTTA & PARTNERS CONSULTING LTD. ATTEND A FULL CONSULTING SKILLS COURSE AT...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni vizuri kila mgonjwa sugu atibiwe na daktari bingwa wa ugonjwa huo ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wakifetha ikiwemo viongoziwetu waandamizi wa vyama na serikali hukimbilia ughaibuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mo Ibrahim By Mo ibrahim As a native of Sudan who has spent most of my adult life in the West, I've always been aware of how ignorant Westerners can be about Africa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi...
7 Reactions
108 Replies
12K Views
NSSF ingekuwa wanafanya biashara basi ingekuwa rahisi sana kupoteza wateja kutokana na uduni wa huduma zao. Ktk kipindi hiki cha matumizi ya teknolojia bado huduma zao ziko duni,je miaka 10...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Naandika kuhusu yule aliyesema why am I complaining about the banks. Nimeamua kuisoma na kuiweka katika mp3.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna yeyote mwenye experience ya kutoa mzigo bandarini ndani ya siku 21 bila ya kuanza kulipa gharama za ziada za daily storage fees kwa makampuni binafsi kama Azam? Experience yangu inaonyesha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nijuavyo hawana pesa ya maana labda hizo pesa za post reconstruction wanazopewa na nchi wahisani na vijisenti vya hayo mafuta ya kila kukicha kuzima na kufungua mabomba sasa je kama mimi nina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada,; Je ni benki gani nchini inaongoza kwakuwa na huduma bora katika maeneo yafuatayo? 1. Urahisi wa kufungua akaunti (hakuna mashartimengi). Kuna rafiki yangu alienda kufungua...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…