Viwanja vinauzwa, vipo blok H kitopeni, Bagamoyo. Kiwanja namba 108 Kina ukubwa wa 1164sqmtr, na kiwanja namba 109 kina ukubwa wa 1154sqmtr.
Bei 18m Kila kimoja. Vimepimwa na Vina Offer/Hati ya...
African Barrick Gold reported on Monday that it had received the renewals of its special mining licences (SMLs) at its North Mara project, in Tanzania. The renewals of the licences were on the...
To all viewers,
please any body with soft copy for micro econmics and economics ,is greatly requested to send such because i have tried to download from the internet burt proved failure.
Bhanguwia.
Mimi najiuliza hivi NHC wanafanyaga detailed feasibility study before embarking into those massive projects?
Tuchukue tu hizi nyumba ambazo wamejenga then wanauza m300!!! mimi hapa swali langu ni...
Nimekuwa na mawazo yangu, lakini kwa sasa nataka kuyaweka in reality, nataka kufungua kampuni hapa tanzania ila sijui pa kuanzia, sijui natakiwa kuwa na vitu gani ili niweze kufungua iyo kampuni...
Baada ya shirika la ndege la Precision Air kununua ndege yao mpya aina ya ATR 42-600 na kuwa shirika la kwanza Africa na duniani kumiliki na kutumia ndege aina hiyo, sasa inawapa fursa...
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has called upon the public to team up with the authority in the fight against unscrupulous traders, who evade paying taxes.
Speaking ahead of the 15th Annual...
HELLOW G.T...Jamani nilikuwa nimefanikiwa kununua tetea 80 na jogoo 8, lengo langu ilikuwa kununua tetea 150 wa kuku wa kienyeji, na hao kuku nilikuwa nshawapa chanjo ya mdondo (new castle) ila...
From NY Daily News
Media celebrity Wendy Williams' failure to pay for 12,140 pairs of shoes that carry her logo has wreaked havoc on the owners of a small manufacturing firm in China, their...
Nimeona hapa ndipo mahala pekee pakuweka naweza pata habari za ndani kidogo,
Nimekuwa na maswali mengi sana bila jibu la uhakika
1. Hivi ni kwanini US hawana bank ya taifa kama B.O.T kwa...
Kama sikosei leo asubuhi nimemsikia Zitto (MB) akielezea taarifa ya wizi wa fedha zinazotolewa na wizara ya fedha kwa ajili ya kuagizia mafuta ya petroli. MB Zitto amesisitiza kuwa hizo fedha sio...
MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL
wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina...
Pamoja na matumaini makubwa ya kupata gesi hapa nchini na kutokuwa na sera madhubuti kuhusu gesi, limeibuka tatizo jingine katika miradi ya gesi nchini. Visima vingi husalisha kiasi kidogo kwani...
When you need to be sureAt SGS, we provide independent services that touch the lives of millions of people across the globe. We provide you with industry leading inspection, verification...
Habar wakuu! Nisaidieni kujua hili, TRA hutoza ushuru kwa bei ya kununulia gari tu au ni pamoja na ile ya kusafirishia?...mfano mimi nahitaji kununua toyota vitz toka japan kwa us& 511 halafu c&f...
Imeandikwa na Nuzulack Dausen | Gazeti la Mwananchi | Nov 28, 2012
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Charles Tizeba ameagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kuandaa mazingira mazuri na...
Jana jioni nikiwa mitaa ya Sinza nilikuwa natafuta sehemu ambapo ningeweza kuweka Airtel Money kwenye simu yangu ili nimtumie mtu, nilikuwa nataka kiasi kama cha laki 2 mbili. Nikaanza kuulizia...