Habari,
Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa...
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu...
Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana.
Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni...
Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.
Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto...
Heshima kwenu wakuu hope mapambano yanaendelea vyema leo ningependa ku share nanyi machache haya kuhusu biashara hapa nalenda zile biashara zinazouza bidhaa ambazo ni scalable hasa upande wa...
Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji...
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
Habari wapambanaji na wote tuliokula kiapo cha kumtoa adui wetu nduli umasikini, Mimi ni mfanya biashara mdogo na mlanguzi wa mpunga na mchele hapa moshi.
Changamoto yangu kwa sasa ni mzigo...
Hello JF guys!
Ni hivi:
Tuna zungukwa na Uganda, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji, Kenya na Congo
Kama mzoefu wa fursa za kiuchumi na upo hapa JF au ulisha wahi kuingia kwenye moja ya Nchi...
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well.
Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha...
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za...
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi...
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.
KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO
Ni...
MBUNGE JANEJELLY ACHANGIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA, MUONE HAPA
Mbunge wa Viti Maalumu, Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini, Mhe. Janejelly James Ntate ameunga mkono hoja na maoni ya Bajeti ya...
Euphoria
a feeling or state of intense excitement and happiness.
Habari wakuu,
Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za...
Habari zenu wapendwa,
Mimi ni kijana wa miaka 26, Nimesomea Bachelor of Human Resource Managment nmemaliza mwaka jana 2023 lakini sijabahatika kupata ajira.
Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia
Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please