Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

The Early Failures of Famous Entrepreneurs (And What They Learned) When we think about the true legends of the business world, it’s easy to put them on pedestals. Surely, we tell ourselves, the...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wadau! naomba kufahamishwa ni bank gani inayotoa huduma ya paypal account na process zake zikoje? asanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nina bajeti ya mil 5 nahitaji vifaa vya muziki, kwenye spika ziwe sound systerm ya ukweli ambazo nitazitumia kwenye ukumbi mkubwa je kwa bajeti hii inatosheleza? na maduka hapa dar yako sehemu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mtikisiko wa uchumi Ulaya umezilazimisha Benki nyingi za Ulaya kushusha Riba mara kadhaa kwa kipindi cha miaka 5. Mwezi uliopita ECB- Benki kuu ya Ulaya imeshusha Riba yake na kufikia 1.25 % ni...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimepokea message hii kutoka kwa mdau anayelipa hela yangu kwa installment. Sasa kuna kiasi ambacho ameshalipa tayari na kuna kiasi ambacho kimebakia. Leo kaniandikia ujumbe "send to me the total...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
..Kwa Wajasiriamali wa Kilimo kuna MAPESA yapo hapo yanasubiri Watanzania wayaombe. Haya Tuchangamke wakuu The AECF Tanzania Agribusiness Window Does your company have a Great Business Idea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wandugu nikinunua gari ya mwaka 2005 toka japan kwa dola 3000, ntaisafirisha kwa gharama gani na gharama za kuitoa je mpaka inifikie zitafika kiasi gani? naombeni msaada
0 Reactions
6 Replies
1K Views
we are company dealing with selling handmade product in zanzibar our main market were tourism and hotel and we had shop in nungwi kiwengwa jambiani and bwejuu in zanzibar and we had shop outlet...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa gharama mpya za kodi kwa gari ya mwaka 2002 kuanzia July 2012. Nimeagizia Toyota vitz toka Japan hivi karibuni.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Hivi ni lazima kuweka milioni moja kwenye account ukishapewa till namba au unaweza ukaweka hata pungufu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji gari ya kufanyia kazi inayobeba abiria kuanzia 7 na kuendelea preferrable Noah, Gaia, Ipsum, au yoyote yenye uwezo huo. Nitampa hesabu ya siku 20,000/= mpaka 25,000/= kwa siku kulingana...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nisaidien wana jf nna nyumba natumia kama dhamana nipate mkopo wa mil.6 wapi ni bank nzuri,naweza pata huu mkopo mapema kwa mashart nafuu.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Tigo has recently handed over the funds raised during the Tigo TuChange charity walk to the Hassan Maajar Trust (HMT), a long-term programme designed to improve the learning environment in schools...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Nafanya utafiti wa kutaka kujiridhisha kwanza kabla sijaanza kulima kwa kumwagilia kwa matone... Nimeshalifanyia utafiti wa kina hili swala, sasa nipo katika stage ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI imetakiwa kuzifanyiakazi tafiti mbalimbali za kitalaam ili kuondoavikwazo vya biashara ambavyo vinachangia kwa kiasi kikubwa mfumuko wa bei hivyokuyafanya maisha ya wananchi wa kawaida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
America has vowed to help in improving Tanzania rural infrastructures so as to stimulate investment which in turn will inspire the country's economic development. According to U.S deputy...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
habari wadau! jamani naombeni msaada wa kujua ni bank gani inayotoa huduma ya paypal account na process zake zikoje? naombeni msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla. Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni. Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii forum tujadili swala la kupunguza muda wa gharama za uchakavu gari kutoka miaka 10 hadi 8, kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha ya tanzania kuliganisha na dola/ euro. Je kwa sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akichezesha taya na mtangazaji,manager wa nhc alisema kuanzia mwezi wa nane wataanza ujenzi wa nyumba 200 kibada kwa ajili ya kina yakhee(waliochoka),yenye vyumba viwili na vi3 price range 25-40m...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom