Wana Jamii,
Naomba kufahamu supply company wa construction equipments ambapo naweza kupata TERRA HARMER. Hii hutumika kuchimba sehemu ya barabara au reli bila kuharibu barabara, pale unapotaka...
Habari Wanajf wenzangu.
Katika thread hii nimeanza kushare kile ninachopata, Natumaini itawasaidia wengi.
For any question or doubt,lets discuss and come out with reasonable conclusions for...
Wadau,
kampuni za TBL na SBL nasikia wameanzisha kilimo cha mkataba cha mtama kwa ajili ya kutengenezea bia. tafadhali mwenye details zaidi na uzoefu anijuze. nataka kuinvest katika hicho kilimo...
Na Joseph Zablon
SERIKALI imetakiwa kuyafanyiakazi mapendekezo yaliyotolewa na wachimbaji wadogo wa madini kupitia Chama cha Wachimba Madini Wanawake (TAWOMA), wakati wa mkutano baina ya wadau...
Hi all,
I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined.
It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
Tanzania efforts to attract more investment will bear fruits only if the government chooses to address insecurity, physical infrastructures and ensure stable power supply.
The chairman of the...
Nina azima ya kusajili kampuni ili nifanye biashara kama insurance agent, nilipotazama kwenye TIRA website, nikaona masharti yameanishwa na mengine yananitaka nifanye mambo kadhaa, ikiwemo ya kuwa...
Jamani wanaJF, naomba kuuliza financial institutions zinazotoa soft loans zenye riba nafuu. Pia naomba anayeweza kunielewesha kuhusu mikopo kwa mfumo wa karadha.
Unaenda hotel unaambiwa ina usalama wa kutosha, unajisikiaje? Na mwonekano wake uko poa, uzio mnene, na security guard akiwa getini. Kwa upande wangu huwa napende kujua
hali halisi ya usalama wa...
Habari wana JF
Natafuta gari la kununua. Napendelea zaidi Suzuki Escudo ambazo si V6 au RAV4. Liwe katika hali nzuri kimuonekano na lisiwe na matatizo ya kiufundi. Kama unalo au unajua mtu...
Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL.
Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their...
Kafulila, baada ya kuchambua namna ambavyo serikali inashindwa kudhibiti inflation, akamaliza kwa swali hilo...jambo ambalo ni la kweli kabisa. Tanzania inaagiza kuanzia tooth pick hadi ndege...
Hi niaina ya security system ambayo tunaweza kukufungia ndani ya Nyumba, Duka au Ofisi. Hi security system ina sense movements baada yakuiwasha. Inakuwa pamoja na sensor ya milango kama mtu...
Je unajua kuchora cartoons za vichekesho lakini huna platform ya kuwafikia watu?
Kama wewe ni mmoja wao, wasiliana na mimi kwa Private Message tuongee zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.