Wanajamii forums natafuta nami ninunue BAJAI lakini nasikia kuna mbaya ambazo hazidumu miezi kadhaa imekufa.
Je nitapata wapi mtaalamu anayejuwa kunisadia kujuwa ni aina gani ambayo haitanipa...
Anaehitaji kufanya network marketing business kupitia forever living products company. kwa yeyote ambaye atahitaji kujoin au maelezo zaidi kuhusu hii biashara aniPM, ili tupeane contacts zaidi.Asante
MIMI NI AGENT WA KUSAMBAZA PAMPERS HAPA BUKOBA MJINI.
GARI LANGU LA USAMBAZAJI LIMEHARIBIKA,NAULIZA km KUNA NJIA YEYOTE
NAWEZA KUITUMIA KUSAMBAZA PRODUCTS ZANGU BILA YA KUTUMIA GARI...
Hi niaina ya security system ambayo tunaweza kukufungia ndani ya Nyumba, Duka au Ofisi. Hi security system ina sense movements baada yakuiwasha. Inakuwa pamoja na sensor ya milango kama mtu...
focused Afren as rumours grow ENI and Exxon Mobil could be planning bid
By Geoff Foster
PUBLISHED: | UPDATED:
Broker Citigroup has in the past forecast that East Africa could become one of the...
WAKUU LEO NIMEWEZA KUTEMBELEA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA DAR NA NILI CHOMOKA KUTOKA ARUSHA ILI NIJE DAR KUHUDHURIA ANGALA SIKU MOJA,
Kwa kweli Manonyesho ni Mazuri sana, na yanavutia sana na kama...
Bora uchukue mortgage(mkopo) wa nyumba huku unakaa humo(ktk nyumba huku ukilipa mkopo kidogo kidogo) kuliko kupanga nyumba na kulipa kodi huku unajenga nyumba sehemu nyingine bila mkopo.
PPF na...
wakuu nina milioni kumi,najiuliza nifungue biashara sijui biashara gani hapa mtaniadvise au niweke msingi kny kiwanja changu kule kibaha tatizo nikiweka msingi sijui nitamaliza lini kujenga as...
NIMEPANDA mananasi acre sita nje kidogo ya jiji la tanga (eneo la kirapula), natafuta soko la mananasi. Mananasi yako vizuri, makubwa na saizi ya kati. tuwasiliane 0718654739 au salim.nelson@gmail.com
Serikali imetakiwa kuwa kali zaidi katika kuhakikisha kuwa mazingira ya biashara nchini yanaboreshwa badala ya kukomea kuunda kamati ambazo hutoweka baada ya mda mfupi, kabla hata hazijaleta...
Wakuu katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja ambaye ni investment banker ambaye alishawahi kuja hapa kwetu the guy told be katika biashara ambayo watu wengi huwa wanaidharau ni...
kila mtu anajua ukipata elimu ndio ukombozi wa maisha lakn unapata elimu unaenda kua mtumwa wa mtu unafanya kazi mdaa mrefu kwa kipato kidogo mwisho wa siku unamkuta mtu anamaisha magumu lakini...
Kwa wanauchumi, mnajua mchango wa usafiri wa Anga kwa uchumi wa nchi zetu,
Chakustajabisha, Kiwanja cha JKNIA ndio kwanza kazi yakuvusha unga inashamiri ambayo haina tija kwa taifa.
Mbona mambo...
mimi ni kijana nimejiajiri huu ni maka wa nne na biashara yangu ya duka la rejareja imekuwa kwa kiasi fulani coz nimefanikiwa kujenga kibanda.na kwa sasa nahitaji kujipanua zaidi kama kwenda...
Wakuu salaamaleikum.Naomba msaada wa hili.kwa wanaokaa Dar mwenye uzoefu atusaidie
kipi nafuu Kutengeneza kisima cha maji au kununua Water tanks.Karibuni
Naomba contact za wachimba visima vya maji Dar.
Hivi inaweza kugharimu kiasi gani uchimbaji wa kisima cha maji kwa matumizi familia ya kawaida?
Shukran!
Tigo has recently introduced its new Internet service: Tigo Internet Mega Boksi, whereby customers can purchase either daily, weekly or monthly bundles, as well as choose from a selection of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.