nimebahatika kumuhoji kijana mmoja huko mjini arusha na kwa ufupi haya ndiyo aliyoniambia....
"kabla ya kumiliki Toyo nilikuwa kibaka nikivizia kinadada na walevi hasa nyakati za jioni na...
Tanesco wakitaka kumuunganishia mteja umeme, wanamtaka alipie nguzo kwanza kwa misingi ya kuinunua: na akisha ilipia inakuwa si mali yake tena bali ni mali ya Tanesco, dhana hii iko-je!!
Swali...
Zambians led by the country's minister for Transport, Hon. Yamfwa Mukanga have hailed Precision Air's new launched flights between Lusaka and Dar es Salaam eyeing out that it would trigger trade...
Habari Wadau,
Kuna jamaa yangu yupo mbali sana anataka kuanzisha biashara hizi za kuweka nyimbo kwenye simu(i believe kwa cable/bluetooth) ,amepata computer na ana miziki mingi ya nje na mingi...
Nimekuwa mteja wa access bank tangu mwaka juzi,
Nilikopa nikarudisha,,mara ya pili napo nilikopa nikarudisha,japo nilichelewesha kama week 2 hivi,,,yaani kama ni tar 3 siku ya marejesho napeleka...
Habari
wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu bei ya cement kwa
kiwandani kwa bei ya jumla na kama ukihitaji ni kuanzia mifuko mingapi
au kama kuna sehemu naweza kupata kwa bei...
Dear Members,
Anyone interested in keeping his/her money in FDR be it for 3,6 or 12 months. Please PM me amount and desirable period I will advise the best available rate.
Pamoja sana.
Maybe we need to prepare a similar report for Tz as well?
We know we're getting ripped off, but how and why? And is there anything we can do about it?Neil Rankin of the Wits School of Economics...
Wana JF
Baada ya kuona matangazo ya Banjuka na Nduki ya TTCL Broadband Niliamua kujiingiza kama mwanachama mpya. Niliyoyakuta ni Wizi Mtupu! Ndani ya wiki nilitumia 10,000! kila nikiwapigia hamna...
Tanzania has banned the export of raw tanzanite gemstone.
Minister of Energy and Minerals William Ngeleja announced the embargo last week saying the action was taken to spur development of the...
WAHESHIMIWA, nahitaji kutransfer pesa online (kwa kutumia online banking) from a tanzanian bank to an american bank...sio kwamba nazificha labda mimi ni fisadi hapana, nimeshaishi kule kwa muda...
Salam wanabodi,
Msaada kwa mwenye ufahamu juu ya gharama ya Sports Rim za Suzuki Swift 1.3 (Aluminium Alloy Rim) ikiwa full na tairi au hata rim peke yake. Naomba bei za wauzaji wa Tanzania...
kama unasumbuka na bei za mbolea ambazo ni bei juu na kemikali kibao,njoo uonyeshwe mbinu mpya ya kutumia ambayo haihitaj mbolea za kemikali bali utayari wako.
kwa maelezo zaidi wasiliana na...
Naomba kufahamu mtaji wa kufungua biashara ya duka la Foreign exchange kwa pesa za kigeni,Kima cha chini kabisa niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia,na Taratibu za kupata kibali cha kuendeshea...
Habari zenu wana JF wote.
Kwa wakati huu mimi nimo katika mpango wa kuanzisha biashara yangu dar na zanzibar. Biashara yangu hii inahitaji kila ofisi kuwa na matumizi ya network in full (inter...
It seems that this Good Sir has got an argument with Wawi MP Hamad Rashid.He says the MP is accussing him of having 5 passports; 3 Belgian passports,and 2 Burundi passports. He says he has been...
Extractable oil potential Zanzibar exclusive economic zone is 2 billion barrels. Zanzibar population about 2 milliion. Now the intresting part- wealth per head= 2000 oil barrels per Zanzibari.
wapendwa mzee wangu alinunua hisa ktk twiga cement,wakala wao wa hisa ni core securities ltd.sifaham wapo wapi kwa sasa nasikia wameamisha ofisi kwa anae faham wameamia wapi anijuze.
Fredy Azzah
JUNI 12 mwaka huu, Kamati ya Viongozi wa Dini ya masuala ya Uchumi na Haki za Binadamu (ISCJIC), ilitoa ripoti yake kuhusu uchumi wa nchi na kuonyesha Serikali inapoteza Sh1.7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.