Wakuu
kuna kuna jamaa mmoja anafanya kazi uhuru media na amenidokeza kuwa gazeti la Uhuru linajiendesha kwa hasara na kwa kutegemea ruzuku katika chama kutokana na kususiwa na jamii kubwa ya...
Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari...
Hapa kuna mifano ya Mchanganuo wa Biashara, japokuwa hii ni kutokana na mazingira tofauti; lakini naamini tunaweza kujifunza kitu.
http://www.bplans.com/sample_business_plans.php
Jamani kama mjuavyo hii ni JF Business Club sasa kila kukicha tunaangalia namna ya kuongeza kipato
sasa hebu tuambiane hivi mtu anaweza vipi kuingiza pesa kupitia hii windfall ya uzinduzi wa gesi...
Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical...
Nadhani mtakubaliana nami kuwa mshahara wa mfanyakazi wa kawaida wa serikali kuwa hautoshi kwa maisha ya sasa.
Kutokana na suala hilo wengi wetu huona ni heri mtu akifanya kitu cha ziada ili...
For those of who have not have the opportunity to read this, angalia vile tunaibiwa!!! Yani mpaka Rwanda wanaget more than us. Source http://www.theeastafrican.co.ke/news/Tax
Tanzania is losing...
wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are...
check this out :
STOCKHOLM, Jun 19, 2012 (BUSINESS WIRE) -- Millicom International Cellular S.A. ("Millicom") (stockholmsborsen:MIC) announced today that it is one of 15 winners in the G20...
Katika mapendekezo ya bajeti ya Serikali na ile ya Upinzani rasmi bungeni sijasikia kodi toka kwa wafanyakazi wanaofanya kazi nje ya nchi kama moja ya vyanzo vya mapato.
Mojawapo ya nchi...
Ni ya m-pesa, tigo na airtel money. Ina matawi (maduka) kumi. Nane yanafanya kazi. Ina faida ya million tano na zaidi kwa mwezi. Faida inaweza kuongezeka zaidi ya hapo.Kwa mawasiliano...
habari zenu wana jamvi. Naombeni msaada wenu kwa mara nyingine, 1. Ninahitaji sana simtank kwanzia ltr 4000 na 5000 kwa bei poa au sehemu yanayopatikana used.
2. Je ni maduka gani naweza kupata...
Heshima kwenu wanajamvi,nipo ktk harakati za kujiari na kuachana na ajira na lengo langu ni kununua coaster kwa ajili ya daladala na kwa kuwa sina capital ya kutosha lengo langu niombe mkopo benk...
Dear Wanabodi
Napenda kukaribisha kampuni mbalimbali,wajasiliamali,NGOs (PUNGUZO MAALUMU LITAHUSIKA KWA HAWA),mashirika ya umma,na taasisi za serikali kukaribia huduma zifuatazo:
1.Domain...
CHANZO CHA HABARI
AFRICA | Facebook
Almost 50 million tourists a year venture into the wild African land to delight their eyes with the continent's spectacular vistas, from the wildlife of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.