Wadau naomba kufahamu toka kwenu, ni vigezo vipi na hatua gani mtu anatakiwa kufuata ili aweze kuanzisha, kuendesha biashara ya baa/pub (baa/pub ndogo) kihalali?
Shukran.
WANACHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) nchini kupitia vyama vya Akiba na Mikopo (Saccos) wataanza kupata mikopo ya nyumba na masuala mengine ya maendeleo kuanzia Julai mwaka huu...
Benki ya Barclays naipenda ila nina wasiwasi fulani. Kuna kipindi baadhi ya wafanyakazi wake walivuta mamilioni ya mihela na wakakamatwa. Pia kumekuwa na manun'gunikonun'guniko kwa baadhi ya...
Tangazo lililotolewa na Serikali la kupandisha bei ya zao la Pamba nchini kwa musimu huu, kumbe ilikuwa ni kuwapa matumaini hewa. Tangazo hilo lilitolewa Kasulu bei ya pamba ingekuwa ni sh.1,100/=...
Habari great thinkers,
Naomba ushauri na maoni yenu kuhusu kujenga nyumba.Kipi ni bora na nafuu iwapo utatumia mkandarasi au fundi wako wa mtaa?
Maoni yenu yatatusaidia wote.
Wadau heshima mbele..
Kuna ndugu anahitaji kujenga choo bora pale Hedaru... kaniuliza kuhusu gharama za ujenzi na uwepo wa mafundi wazuri wanaoweza kufanya hiyo kazi....
Nimelileta humu kwa...
Salaam jukwani hapa Uchumi na Biashara!
Inawezekana kulipia ankara za Makampuni ya nishati na Maji kwa fedha za kigeni? Kampuni hizi ni za umma wa Tanzania.
Ninajua kuwa kila mtu anapofungua account anapewa terms and condition kuzisoma na kuzi-sign. Kuna aina mbalimbali za banking products, kama savings accounts, current account etc.
Mimi ni...
Baadhi ya kampuni za mafuta zimetishia kugoma iwapo hatua hazitachukuliwa kurekebisha mpango wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja ambao umebainika kukumbwa na dosari ya kuwa na mafuta...
Nikiwa kijiweni tangu majira ya mchana na nipo karibu na dpot ya bia ya kampuni ya TBL na nikaona malori kama matatu aina ya Benzi na hizi benzi nyingine hz kibin fupi tani 5 kama 8 hv zinaleta...
WAKUU
katika kuangalia angalia zangu Euro hapa nikapata mawili matatu ambayo nimeona yanaweza kuzaa idea ya biashara ambayo nikaona sio mbaya kuja ku share na wakubwa/ wadogo zangu hapa kwanza...
Kwa ninavyofahamu B.O.T anaregulate commercial banks zoote,pia other financial institutions....hivi ni sahihi kwa banking hall kuwa wazi mpaka saa mbili usiku???Yaani huyu regulator(BOT) hana...
Wana jf,kampuni yetu tulisajili tangu mwaka 2010,kutokana na hali mbaya ya biashara na mimi kuwa masomoni hatukuweza kulipa kodi kwa miaka hii yote na hatukutoa taarifa tukitegemea mambo yangekua...
Naombeni msaada wenu wataalamu wa business kuhusiana na aina mbali za business registration. Ninaomba kupata maelezo kuhusiana na aina mbali mbali za business and company registration. Kwa upande...
Wana jamvini hivi kuna mtu ana idea yoyote ya hii njia ya kununu magari inayoitwa PayTrade? Ni salama kweli au kuna kanyaboya hapo? Maana nataka kuzgiza mkoko lakini nasita kutuma hiyo noti yao...
Precision Air
Deputy Permanent Secretary in the ministry of Transport John Mngodo has said undertaking research and analysis is vital in order to acquire initiatives that can benefit the...
The government yesterday said that it has no objection to Zanzibar conducting exploration and extraction of oil in the island.
Prime Minister Mizengo Pinda said that the government was working on...
Ni wale owners wa easyjet, wanataka kuleta ndege hizi za bei rahisi hapa TZ. Ulaya unaweza toka Italy ukaenda Spain kwa $15, hawatoi chakula wala nini.
Binafsi nawakaribisha sana ili usafiri wa...
Naomeni msaada wenu wana Jamii.. I have about 3Million na nataka kui invest kwenye biashara ya M-Pesa, Tigo Pesa lakini nataka kujua inakua vipi kila kitu from profit na loss?? Nyumbani napoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.