Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu kuna kuna jamaa mmoja anafanya kazi uhuru media na amenidokeza kuwa gazeti la Uhuru linajiendesha kwa hasara na kwa kutegemea ruzuku katika chama kutokana na kususiwa na jamii kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji, Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari...
1 Reactions
86 Replies
16K Views
Hapa kuna mifano ya Mchanganuo wa Biashara, japokuwa hii ni kutokana na mazingira tofauti; lakini naamini tunaweza kujifunza kitu. http://www.bplans.com/sample_business_plans.php
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani kama mjuavyo hii ni JF Business Club sasa kila kukicha tunaangalia namna ya kuongeza kipato sasa hebu tuambiane hivi mtu anaweza vipi kuingiza pesa kupitia hii windfall ya uzinduzi wa gesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani mtakubaliana nami kuwa mshahara wa mfanyakazi wa kawaida wa serikali kuwa hautoshi kwa maisha ya sasa. Kutokana na suala hilo wengi wetu huona ni heri mtu akifanya kitu cha ziada ili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
For those of who have not have the opportunity to read this, angalia vile tunaibiwa!!! Yani mpaka Rwanda wanaget more than us. Source http://www.theeastafrican.co.ke/news/Tax Tanzania is losing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
dar - zenji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
check this out : STOCKHOLM, Jun 19, 2012 (BUSINESS WIRE) -- Millicom International Cellular S.A. ("Millicom") (stockholmsborsen:MIC) announced today that it is one of 15 winners in the G20...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Katika mapendekezo ya bajeti ya Serikali na ile ya Upinzani rasmi bungeni sijasikia kodi toka kwa wafanyakazi wanaofanya kazi nje ya nchi kama moja ya vyanzo vya mapato. Mojawapo ya nchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni ya m-pesa, tigo na airtel money. Ina matawi (maduka) kumi. Nane yanafanya kazi. Ina faida ya million tano na zaidi kwa mwezi. Faida inaweza kuongezeka zaidi ya hapo.Kwa mawasiliano...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
habari zenu wana jamvi. Naombeni msaada wenu kwa mara nyingine, 1. Ninahitaji sana simtank kwanzia ltr 4000 na 5000 kwa bei poa au sehemu yanayopatikana used. 2. Je ni maduka gani naweza kupata...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau nimeulizwa na mdau mmoja nisaidie kutafuta sukari inaitwa artificial sweetner hapa dar es salaam. Mwenye kujua tafadhali anifahamishe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hisa za benki ya CRDB zimeporoka kwa takribani 35%, kutoka 180 mpaka 118 ndani ya miezi sita. Je hii ni kwa nini? Pia, je imewahi kutokea?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada jinsi ya kuoka au kutengeneza mkate kwa unga wa ATTA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba mnijuze yeyote anayefahamu bei ya gunia la mahindi hapo KIBAIGWA. Mie nipo Mwanza.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanajamvi,nipo ktk harakati za kujiari na kuachana na ajira na lengo langu ni kununua coaster kwa ajili ya daladala na kwa kuwa sina capital ya kutosha lengo langu niombe mkopo benk...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear Wanabodi Napenda kukaribisha kampuni mbalimbali,wajasiliamali,NGOs (PUNGUZO MAALUMU LITAHUSIKA KWA HAWA),mashirika ya umma,na taasisi za serikali kukaribia huduma zifuatazo: 1.Domain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHANZO CHA HABARI AFRICA | Facebook Almost 50 million tourists a year venture into the wild African land to delight their eyes with the continent's spectacular vistas, from the wildlife of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…