We are looking for m/v part shop owners, medium and large shops with large inventories who want simple and cheap stock management systems, all you need is a pc/laptop with office 2007/2010...
wana jf heshima zenu,naomba kuuliza je kampuni ya sigara imetoa gawio la shs ngapi kwa hisa hii june 2012, na kama kuna wataalam wa haya malipo, ni njia gani nipitie ili malipo ya gawio yapitie...
Tanzania pilots have raised concern over employment opportunities being availed to foreigners, calling on Transport minister Dr. Harrison Mwakyembe to intervene.
They said claims that they dont...
Plot inauzwa buguruni Lozana, ina nyumba kuukuu ambayo wanaishi watu, ni corner plot, ni eneo la makazi na biashara, opposite Exim Bank, ukubwa 18m by 23m,
bei 350milions.
kazi kwenu wawekezaji...
bila shaka sehem hii itawafaa wengi wa mambo hayo kwa kupata taarifa mbalimbali kuhusuana na mifugo...
KIBOKO ANIMAL FEEDS AND MILLERS • Community Forum
Katika HALI isiyo yakawaida Boss wa Media for International Development Tanzania, Counrty director "John Riber" ametoa hongo ya dola $75,000 na Wazimbabwe 2 walirudishwa kazini mara moja baada...
Nimetembelea Mikoa hasa Wilaya zinazozalisha mpunga kwa wingi hapa nchini nikagundua kuna haja kubwa ya kutumia na kuziendeleza fursa ambazo hazijatumika ipafasavyo katika baadhi ya Wilaya hizi...
Kila mgombea urais huwa anamalengo ya kuifikisha nchi mahala pa zuri.
Malengo hayo ndiyo hujinadi kwayo aombapo kura. Akisha kuteuliwa rais huenda ktk bunge (kutakamo
patikana mawaziri) na...
JK: Excessive drugs imports helps fake drugs importers
By Guardian on sunday correspondent
17th June 2012
Minister of Health and Social Welfare Dr Hussein Mwinyi
Tanzania imports over 70 percent...
Nilisema wakaja hapa JF wakaponda, sasa yapo wapi?
By Finnigan Wa Simbeye | Daily News 16, June 2012
SOME oil marketing companies are reported to frustrate the process of bulk procurement and...
WANA JAMVI, Asalaam aleykum.
Katika nchi zote duniani jukumu la kuteremsha chini mfumuko wa bei (Inflation) upo chini ya Benki kuu za nchi husika.
Benki kuu huteremsha chini mfumuko wa bei...
These are the ten largest oil producing countries in the world.
besed upon avarage daily production of crude oil. Some people will be very surprised that the united states is the...
Salamu sana.
Tunatoa huduma zifuatazo kwa gharama nzuri.
Ushauri wa biashara
Uandikaji wa mpango wa biashara
Uandaji wa katiba kwa mashirika yasiyo ya serikali (NGOs)
Mafunzo ya ujasiriamali...
za leo wana JF ,nawatakia friday njema....kuna kuku wanapatikana kwa bei ya shl 11,000,.wale wa kienyeji ila wanafungwa ndani kwa atakaetaka anipigie kwa no 0716 474435...ukitaka wanyonyolewe...
Naamini kazi yangu kubwa ingelikua ni kuangalia mapato na matumizi ya Serikali yangu pendwa ya Tanzania.'
Wakati wa bajeti ningehakikisha yakua ninafufua vyanzo vingi vya kimapato kwa kuangalia...