Juzi katika mihangaiko yangu hapa jijini Dar es salaam ilinifikisha katika Bank NMB tawi la Bank House makutana ya Samora na Mtaa wa Pamba.
Nilipoingia ndani ya Bank nikashangaa kukuta watu kama...
Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde...
Wadau,
Nimekua nikisoma kwenye magazeti mbalimbali pamoja na kusikiliza redioni kua Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuuza nyumba zake zilizoko mchikichini, ilala, Dsm.
Niseme...
Starting a business that addresses the frustrations of customers can be one ways of identifying a business idea. If you notice that so many people are getting frustrated by something then you...
NSSF has now ventured into extending its services to Tanzanians living abroad through special Diaspora coverage scheme called Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora - WESTADI
Visit NSSF...
Uhusiano kati ya Ujasiriamali na Uchumi wa Nchi
Mawazo ya kwamba kuna Uhusinao kati ya Ujasirimali na Uchumi yalikuwepo tangia zamani na hata Adam Smith aliongelea hili,
Ujasirimali ndo chombo...
Habari wanaJF,nina mpango wa kufungua ofisi katika mtaa flani katika jiji la Arusha,na ofisi itahusu computer repairs and maintenance,nimejaliwa sana kuwa competent katika kazi hii na ninaifanya...
Tumekuwa tukisema tunasaidiwa makaratasi yanayoitwa pesa miaka mingi na umasikini wetu umekithiri. Kuna haja ya kusaidiwa misaada thabiti ya maarifa, kama ni kuzalisha bidhaa muhimu ze nye soko...
AFRICA | Facebook
1. The Serengeti, Northern Tanzania
The Serengeti National Park offers the absolute classic African safari setting. The migration of millions of wildebeest and zebra starts...
Heshima kwenu wakuu.! Naomba tujikumbushe matangazo yaliyowahi kubamba sana hapa tz, pia yale ambayo yana utata tujadiliane kujua nini hasa ilikuwa 'idea' na ujumbe wa mtunzi. Lakini je yana...
Mwananchi la leo wanasema Alisema kuwa wataalamu wa ujenzi wa mradi huo watatoka nchini Brazil na kwamba tayari makubaliano yamekwishafanyika kinachosubiriwa ni fedha na kiasi kinachohitajika ni...
je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno
-no credit card needed
-no bank account details needed
bofya hapa...
Samahanini wana jf kuna mtu kanitumia hii link hapa kuna mtu alishai-visit anisaidie kama ina ukweli wowote?
News Daily 7 - Work at home mum makes $10,397/month working part-time from home...
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande...
hodi jamvini
Wanajamvi mimi nina kitu kinanitatiza,kuna kitu huwa nasikia kuwa kuna miezi fulani hasa ya mwanzo wa mwaka biashara aina mbalimbali mfano maduka huwa ngumu kwa upande wa mauzo,kuna...
Wamiliki wa magari nyumba na mali zingine sasa katieni bima shirika la bima la taifa kwani linafanya vizuri sana sasa madai yanalipwa ndani ya siku 20. Achaneni na vikampuni vidogovidogo mtalizwa
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini.
Hivi ni sahihi kwa...
Ndg zangu speed ya airtel ikizidi kuwa ndogo na gharama zake za internet zikizidi kupanda kwa wa tanzania, WAKENYA (airtel kenya) wanaendelea kufurahia speed kubwa na gharama nafuu za internet...