Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

hali zenu wanajamvi. ni wapi naweza kupata mkopo wa milion 3 ili niweze kuemndeleza biashara yangu. me nipo mwanza ni mjasiriamal mdogo au mchanga ktk biashara. iwe ni kwa mtu binafs au kampun au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
pole kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
V Business IT Solutions can provide all kinds of open source customization and open source development for your project/Organization. Using open source platforms reduces your upfront costs and...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
ndugu wana jf kwanza nawasalimu wote, mimi ni mjasiria mali mdogo nina nia ya kuanzisha karakana ndogo ya kuchana na kuranda mbao kwenye mji mmoja mdogo mikoani kwa wadau wenye uzoefu naomba...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Naomba mnisaidie NAHITAJI TWO RETURN AIRLINE TICKETS za Qatar Airways za kwenda USA Columbus Ohio,, kwa tarehe za mwanzoni ya mwezi wa sita Please naomba zenye reasonable prices.. please contact...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr. A. Meru, Mkurugenzi mkuu wa Export Processing Zone Authority (EPZA), amesema utaratibu unaotumiwa na makampuni kubadilisha majina: mfano Sheraton kuwa MovenPick, Airtel kuwa Zain, Mobitel kuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimesikitishwa na kitendo cha kampuni ya Airtel kupandisha gharama ya bundle kwa viwango vya kuruka kama ifuatavyo; Receive: Chagua Kifurushi cha 1. 25mb (Tsh. 1500) 2. 150mb (Tsh. 6000) 3...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapi Dar es salaam naweza kupata wataalamu wa kuandika MOU & Articles of Association Je itachukua siku ngapi mpaka kuandikisha BRELA na kupata Leseni? Kuandika MOU & Articles of Association ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The national flag carrier, Air Tanzania Company Ltd (ATCL), yesterday launched its website with a view to improving communication with customers and enable people access booking, flight schedules...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni mmoja wa abiria tuliokuwa tunaelekea kanda ya ziwa leo hii kwa usafiri wa hawa ndugu zetu waliopata kujitengezea reputation nzuri hapa Tz. Katika hali ya kushangaza tumesimamishwa kwenye...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninauza gari aina Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc. :car...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, ninatarajia kutua Tanga kwa Mei Mosi. Naomba wenye uzoefu mnijulishe kuhusu hoteli zenye KIWANGO cha ukweli hapo Tanga. Namaaanisha huduma bora, safi, salama, ya kisasa. nawasilisha.
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Jamani nimeambiwa kuna page ya facebook group inayowapa watu nafasi ya kuelezea maduku duku ya utapeli wa airtel mwenye link atupatie tafadhali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi na wafanyabiashara tunalia juu ya HUJUMA zinazoendelea kudhoofisha ufanisi wa reli zetu. Lakini huu sasa si wakati wa kuendelea kulia tu. Machozi yakauke, tuchukue hatua za kushinikiza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kuna mdada anapenda kufanya biashara ya Bite anakuwa anapika na kupark fresh then anauza sehemu mbalimbali, so anataka kujua kwa ARUSHA ni sehemu gani wanatoa hizo kozi au wanafundisha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wanajamii naomba ushauri kuhusu biashara ya kukodisha benzi za harusi zinalopa? Na kwa mfano ukipata order moja ya harusi ni shs ngapi? Naomba ushauri wenu wadau nafikiria kufanya hii biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf kati ya saloon ya kiume na kununua boda boda ipi inalipa?mi nina kama mtaji wa milion mbili hivi nataka nifanye nayo biashara naombeni ushauri
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Milena Randy Orton ïåñíÿ ìóõà Black kids Âîâà, ÿ ïðîñòî òàíöóþ ãîëîé))))))) ïëàíåòà îáåçüÿí Comedy Club ,
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Niliingia katika hiki kibanda ili nitoe pesa yangu katika account ya tigo pesa ndipo dada anaehudumia akaniambia hawezi nihudumia sababu anawaza kufungwa kwa wizi uliotokea kwani hana namna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…