Hey wakubwai, hivi karibuni nataka n'tiee maguu bongoland, sasa mimi nataka niwe mjasilia-hali-na mali,nataka nifungue kiota cha kuuza softwares za computers na zile za simu,yaani nitakuwa nafanya...
Wakuu kuna hii company inahusika na uuzaji na usafirishaji wa magari ambayo ni used from Japan to any country, bei zao nimeona cheap sana.
Kwenye stoke yao unachagua gari kwa njia ya mtandao...
Calling All Entrepreneurs
There is no formula or method for entrepreneurship. At least that is what I know. All you need is to be at the right place and the right time, to realize that an...
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria...
Wazo hili limekuwa linajia kichwani mara kwa mara hasa baada ya kukutana na Mtanzania mwenzetu, ndg,Zacharia Zamokewakati anaanza kufanya utafiti wake juu ya namna ya kutengeneza Incubator...
Nilipoanza biashara nilikuwa na dreams nyingi???...
First, Nilianza kufikiria biashara za "estates" that is najenga nyumba za kupanga na kuuza ...nikakutatana na challenges zifuatazo..a)mtaji, na...
Habari za kazi wanajamii. Naomba msaada wenu katika jambo hili.
Nilikuwa nafanya kazi katika mgodi wa North Mara na sasa nimepunguzwa kazi, katika pesa nilizolipwa, na mafao yangu ya nssf pamoja...
Wadau naomba kuuliza. Hapa Dar kuna kampuni au mtu binafsi anafanya biashara ya kusafirisha maua nje ya nchi? Yaani florist. Au kuna biashara ya kusafirisha vipepeo hapa Dar? Mawazo yenu ni muhimu...
WanaJF naomba mwenye mbinu yakinifu za kuniwezeksha niwe tajiri.Mbinu zozote zile za kibiashara,kinguvu au zozote zile almradi ziwe legal......In short nakataka niwe tajiri.......nahitaji msaada wenu
Habari za leo wana Jf Poleni na mhangaiko ya hapa na pale. Napenda kuuliza ni dukagani hap Dar linauza Digital Cameras na Camcoders KWA BEI NAFUU. Msaada wenu ni muhimu sana kwangu. Natanguliza...
Kwa kweli naomba nisaidiwe au nitoe pole kwa wale wote ambao wameishaibiwa LAPTOPS zao pamoja na magari na vitu vingine vyenye thamani kubwa hapo Mlimani City.
Swali la kuuliza je, wahusika au...
The Medical Stores Department (MSD) has told the Parliamentary Parastatal Organisations Accounts Committee (POAC) that increased demand for drugs and other supplies has caused serious shortages in...
tukiweka siasa na udini pembeni hili ni wazo zuri sana ambalo linatekelezeka.viongozi kazi kwenu
Leo asubuhi BBC katika dira ya dunia imetangaza kuwa serikali ya Kenya itaanza kutoa KSh. 2,000/=...
Kuanzia jana ilikuwa ni kilio kwa wafanyabiashara wadogowadogo na mamachinga wanaofanya biashara zao maeneo ya Ubungo(Dar) karibu na mitambo ya kuzalisha umemena kandokando ya barabara pale askari...
Wakuu wa jukwaa la uchumi nawasalimu.
JUkwaa hili la uchumi ndilo jukwaa ambalo kila siku lazima nilichungulie kwanza,katika pitapita zangu humu nimegundua kwamba wafanyabiashara wengi tumekua...
wadau saidia hapa tafadhali, kwa anae jua wauzaji wengine wa pikipiki za miguu mitatu aina ya TVS ukiacha CAR & GENERAL.. kwa hapa Dar es Salaaam. Nahitaji kununua.
Ndugu wana Jamvi,
Baada ya mda mrefu wa utafiti na kutafakari sana napenda kusema nilichogundua ni kwamba "Hakuna sababu ya mtu kuajiriwa" na kama kuna mtu anaweza kuleta vigezo tofauti nitapenda...