Noti mpya zazua balaa
Ubora wa noti mpya zilizoanza kutumika mwanzoni mwa mwaka huu unatia shaka, baada ya kubainika kuwa baadhi yake zinachuja na kuacha rangi zikilowa maji au jasho.
Uchunguzi...
Naombeni kufahamishwa kwa ufasahaa kama kuna mwana jf anaefahamu kwa uzuri tofauti kati ya FOB price na CIF price kwa maana ninampango wa kuagiza kagari used japan sasa kila nikiulizia wengine...
Wadau, habari za siku nyingi?
Naomba msaada wenu.
Nina idea ya kuanzisha hiyo bussiness
Nataka niwafuge mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku (wa nyama wa kienyeji na kisasa), kuku wa mayai, bata wa...
Wana jf,ninaomba kwa anayefahamu jinsi ya kuendesha biashara ya conference facilities, ninachotaka kujua pamoja na mambo mengine ni je ninawezaje kupata tenda zake bila kuwa na ukumbi,mimi nina...
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
jamani ninaomba msaada wenu wa kimawazo,
nina shilingi milioni tano kwenye account, nisaidieni nifanye mradi gani ili kuizungusha hiyo milioni tano? nimejitahidi kufikiria lakini naona sipati...
Nimeharibikiwa na friji yangu mpya yanye warranty ya 24 months. Nimepeleka service center hatimaye nikaambiwa nitoe laki. Warranty bado haijaisha. Lipi lengo la hii kitu?
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has failed in its bid to block the hearing of an appeal filed by Russian firm, JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) that disputes a demand for $205 million (Sh330...
habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli
(ghee)nje ya nchi(kuexport),lakini sasa sina idea kabisa na
vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu
market za nchi za nje za vitu hiv ambako...
Wana JF naomba msaada wenu. Ninahitaji kununua mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata mashine hiyo, pamoja na bei yake. Ninaishi Morogoro.
Natanguliza...
wale wanamazingira wa Wakenya waliongoza kupinga tusijenge barabara ya serengeti na cha ajabu serikali yetu ikafyta mkia
leo wamezindua mradi wa bandari mpya ya lami wenye madhara makubwa zaidi...
Baada ya wafanyakazi wa Tanesco kuanza kununua umeme kwa bei ya soko, wameanza mgomo usiokwisha. Wanachofanya ni kuzima umeme kwa kisingizio cha kufanya marekebisho, wanatuma mafundi maeneo...
Hallo wanajamii ninaomba mtu yeyote ambaye anaweza kunipatatia mtama mwekundu kwa kiasi cha kila derivery tani kumi anipe bei ya pale alipo kwa kilo moja. Asanteni sana kwa walio serious piga...
Nafikilia kufanya biashra ya dawa za binadam kutoka india hapa nchini , tatizo kubwa sifaham taratibu za vibari pamoja na kanuni za kuingiza mizigo kupitia bandari zetu hapa nchini , naombeni...
Wana JF,mh Adam Malima yuko live radio uhuru sasa hivi,hoja anayozungumzia ni madini na ametoa fulsa ya kumuuliza swali.No ya kupiga studio ni:0756 778 066.