Hi Wa JF habari za asubuhi, Jamini nahitaji kama kuna mtu tasisis au kampuni inaweza kunisponse kwa huu mradi ambao ninataka kuufungua wa shule zile za midium.<br> Kwani nina kiwanja kikubwa...
Hi Wa JF habari za asubuhi, Jamini nahitaji kama kuna mtu tasisis au kampuni inaweza kunisponse kwa huu mradi ambao ninataka kuufungua wa shule zile za midium.
Kwani nina kiwanja kikubwa na kiko...
Urged to charge affordable interest, set reasonable repayment periods
Lands, Housing and Human Settlements Development minister Prof Anna Tibaijuka (4th-L) pictured with heads of seven banks...
My Take: Tukifanikiwa kuwa na sera nzuri na uzalendo na nchi yetu, tukawa na uchungu na resources zetu na kuondoa hawa watu wanaokula 10% katika mikataba na kupelekea kutoa Tax holidays za miaka...
Habari wadau! Mimi ni kijana mjasiliamari mdogo.Naomba uzoefu na mawazo yenu juu ya maswala ya mikopo nafuu iwe ya kibenki,SACCOS au NGOz maana mimi si mwajiliwa,sina nyumba wala shamba.Na jina ya...
Wanajamii, naomba kufahamishwa zaidi juu ya biashara ya nafaka. Nimeambiwa kuwa biashara ya nafaka kama mahindi, mchele, unga ni nzuri sana. Je, ni hatua zipi za kufuata kama unataka fungua duka...
Am selling the following websites.
Jobs in Tanzania, Jobs in Uganda, Jobs in Kenya ,Jobs in Rwanda, Jobs in Southern Sudan and The Kenya Guide
you can send me mail too: tullapeople@gmail.com
Kama ilivyo ada serikali imepunguza kodi kwa cement toka nje toka 35 to 25% to encourage imports!
Why shouldn't the same be done for Sugar to encourage sugar importation hasa malawi!
Au ilo la...
Never pay for your advertising again!
You can use our new marketing system to send over 1 million Guaranteed real visitors to your website totally free. There is absolutley no cost to you at any...
Ndugu wadau,
kuna uhusiano gani kati ya kifo cha AIR TANZANIA na kukua kwa PRECISION AIR?
Nahisi kuna baadhi ya watendaji wa serikali yetu wana umiliki wa hisa ndani ya Pecision Air, hivyo...
Na Mwandishi wetu 2nd November 2011Kikosi cha Doria cha Idara ya Uvuvi mkoani Mwanza, kimekamata zaidi ya samaki wachanga 900 aina ya Sangara kwenye gati la kufikishia samaki katika Kiwanda cha...
Last wednesday 23rd i was called by a friend and told if you have extra cash buy dollars for a quick profit,i bought US d 10000 at 1735 each and the next day it had reached 1830 and it being my...
Ndugu wana jamii, nimekuwa nakerwa na rates per minutes kupiga simu Tanzania kutokea nje ya nchi kucompare na nchi zingine za Africa. Kwa mfano hebu angalia hizi rates hapa chini
Special low rates...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) is resuming service today after being grounded for the past nine months.
One of its planes, a Bombadier Dash 8 Q300 that was undergoing maintenance in South...
Wadau naombwa ajuae anijulishe . Kwanza Serikali kupitia sheria ya Village land Act ya mwaka 1999 imeweka wazi kuwa Customary certicates of titles ni sawa na title deed za kawaida.
Je Bank zipi...
Nahiaji magari ya kusafirisha zao la korosho kwa msimu wa mwaka 2011/2012.
Kazi inafanyika katika wilaya za Tandahimba na Newala. Naomba tuwasiliane. email lp634366@gmail.com ili tujadiliane...