Natanguliza shukran zangu.Mim nikijana wa miaka 24 nimechoka na maisha ya kufanya kazi za kuunga unga na huku nyumban nimeacha ekari kibao za ardhi zikiota nyasi bila kutumiwa.Namambo mengi sana...
New Facebook page about Projects, Construction and Real Estate in Tanzania. Advertise rental properties,
share info. about upcoming projects, connect with real estate enthusiasts, interior...
kama wananchi hatuzalishi tunakaa vijiweni...hatuna uzalendo wa kweli tukipata nafasi tunaiba..hatujui haki zetu tunaishia kulalamika, je mnadhani ni serikali ya chama kipi itasolve hili tatizo la...
wakuu
habari zenu
nafikiria kununua kijinyumba sasa kila nipitapo mjini naona kuna hawa wanaitwa MBAGA REAL ESTATE AGENCY je ni wazuri au matapeli tu wa mjini
mmiliki wake ni nani??
Imekuwa ikishuhudiwa misururu ya watu wa kada mbalimbali ikienda kumtembelea Zitto kabwe hospitalini na wengi wetu tukiumia na kumwombea ili apone haraka kutokana na maradhi yanayomsumbua. Na...
Kwa wizara tajwa hapo juu.
kuna haya makampuni ya utalii yanayo milikiwa na wazungu kutoka nje ambayo yanajihusisha na kupeleka wageni kwenye hifadhi zetu na vivutio vingine kama mlima...
Mmmesikia matangazo luluki ya hii hoteli inaitwa JB hotel na ishauzwa kwa mtu mwingine na jina limebadilishwa toka paradise na mmiliki mpya.
Nadhani wa mwanzo alikuwa ni msomali wa sasa hivi ni...
Wakuu habari za leo na poleni na kulisukuma gurudumu hili ambalo linazidi uzito kila kukicha... Salute!!
Sasa ni hivi... Kwa kutambua mchango wenu wana JF... Naomba kuuliza swali general kuhusu...
hivi kweli kwa jinsi sarafu yetu inavyo poromoka dhidi ya dolar inashabiana na yanayosemwa kuwa uchumi wetu unakuwa kwa kasi?wenye euelewa juu ya hili naomba ufafanuzi
Nahitaji nyumba ya kupanga, vyumba 3-4, iwe na Master BR, KITCHEN, PUBLIC TOILET, SITTING ROOM, DINNING AREA NA STORE, IWE NA GATE (Secured Compound)
Maeneo: Sinza, Ubungo, Kijitonyama, Survey...
wanaJF siku zote nimekuwa nikitaka kujikomboa mimi kama mdada
kwa kujishughulisha na biashar nyingine tofauti na kazi yangu.
Siku zote nimekuwa na hamu ya kufanya biashara ya Bar lakini mimi...
Nabaki na maswali mengi sana kichwani,hivi kweli serikali yetu ina mpango gani wa kizalendo wa kukuza utalii wa ndani?Mlima Kilimanjaro uko tz,hivi kweli mjerman anatumia mamilioni ya maili kuja...
Hi,
Am curious, that the Dollar rate dropped to Buying 1650 today but is still selling at 1820? Even BOT rates currently showing 1650?
Does anyone know what happened please?
Baada ya kuona hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu nimeamua rasmi nijikite katika ujasiriamali, na biashara ya kwanza ninayoifikiria ni Barber Shop (Saluni za kiume za kisasa).
Kwa memba yeyote...
Wadau naomba msaada wa mawazo na ushauri, Nimepitia pitia threads mbali mbali humu na nimehamasika na ufugaji wa ng'ombe wenye uwezo wa kutoa maziwa mengi kwa siku. Nina mpango wa kuanza na...
Wednesday, 26 October 2011 23:07
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
Central bank governor Benno Ndulu declined to comment on the sorry state of the shilling that continues to fall freely...
Nimeilewa vizuri sana anyone want to get some information concern this dont fear it pays believe me.By my eyes saw the friend of mine getting the bonus of 2,000,000/= for one month.
Kwa wale wanaohitaji efd machine plz chek mi out thru 0756517588....we can get u a good machine frm advatech n make sure that u enjoy our services....we offer free operational training, deliver...