Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Asubuhi hii nimepitia atm ya crdb pale shoprite kamata, haina pesa. Imebidi nikachukue pesa kwenye atm ya nbc. Hivi hawa watu wa crdb wako serious kweli? Sehemu ya supermarket ambapo watu wengi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Jana nimepiga simu saa 2 usiku. Cha kushangaza ilikatwa tsh 300 kwa dakika 1. Kuthibitisha kua haikua bahati mbaya wakanitumia ujumbe usemao, "sasa piga simu kwa sh...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Traders have hit back at the Bank of Tanzania’s response on the quality of its new banknotes, calling for their removal from circulation. Traders interviewed by The Guardian at Ferry fish market...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni hatua nzuri ila naona mkt imelala change= 0% (illiquid mkt). Click below Tanzania All Share Index (DARSDSEI:IND) Index Performance - Bloomberg
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika maisha ya mwanadamu hapa mbele ya jua.., mafanikio ndiyo kitu kinachotafutwa na watu mmoja mmoja na mataifa pia zaidi ya kitu kingine. Mafanikio jamani..!, kiteknolojia, kiuchumi, kielimu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nini chanzo cha mtu kuitwa maskini? afanye nini kutoka katika hali hiyo?
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Nimefarijika kusikia vijana wanahisa wa nicol wamepanga kuwaondoa viongozi wa kampuni hii na kushika hatamu ya uongozi na kunusuru mitaji ya watanzania waliowekeza katika kampuni hii, hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimezitazama data sehemu kutoka IMF na kuona Tanzania GDP per capital income imepanda kutoka 385 in 1980 to $1,400 per person. 1980 386.55 1981 414.732 7.29 % 1982 426.696 2.88 %...
0 Reactions
134 Replies
11K Views
Vyombo vyoote vya habari nchini na dunia jana na leo vimetawaliwa na habari ya kifo, kifo cha mtu ambaye pengine wengi hawakuwa wakimfahamu hapo kabla, hakuwa maarufu sana, lakini alikuwa muhimu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu natafuta chumba na sebule maeneo ya Savei,sinza A opp. na mlimani city na pia maeneo ya mwenge mtu mwenye ifo au namna yeyote ya kunisaidia pliiz just Pm me!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza tuambiane kwa mliokwisha wahi kufanya biashara ya hisa na hasa tunapozungumzia faida,hivi tuwe wakweli ili hatimae tupime wenyewe na tuamue na sisi ambao tunafikiria kuhusu hisa tufanye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wanaJF,nimekuwa nikiangalia inflation rate kwa maana ya thamani ya TShs vs US$,kwa takriban mwezi sasa,imekuwa ikipanda kwa kasi ya ajabu mathalan leo nimepitia bureau exchange kadhaa maeneo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello member! Nimesikia juu juu kuwa Precision wanauza hisa. Naomba mwenye taarifa tafadhali anijuze. Asante
0 Reactions
8 Replies
3K Views
PRECISION AIR: Shares are now available for sale @ 475 per share Offer open period ;7th october- 28october 2011 buy yor shares at the following ponts of customer payment: The...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hawa jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Nasikia wapo shwari sana. Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu heshima mbele,naombeni msaada wa mawazo jamani,nina sh.million 5 nataka nizizungushe kny biashara ambayo haitanisumbua hasa kwenye uendeshaji kwani mimi ni mwajiriwa hivyo muda wangu utakuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau. Nimedunduliza kahela ka kununua gari Kampuni ya Autorec ya Japan. Nimekuwa nalipia kwa awamu, nimelipa awamu mbili bado moja ya mwisho. Changamoto ni kuwa kila ninapotuma pesa huwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TO DO or TO BE - Do I Look Around - Do I want to Change Things - Do I want to Create a Meaning - Am I ready to Change Myself
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kila kukicha huwa watu wanasaka fedha lakini hazijai na wala haziwatoshelezi sasa najiuliza kuwa kwa kutegemea mishahara ya kibongo ya sh laki nne mpaka mili 2 mtu anaweza kuwa tajiri na kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam! Natafuta wanunuzi wa asali mbichi kutoka tabora. Nauza kuanzia lita 20 na kuendelea. Tafadhali ni pm kama unahitaji au kama una maoni au msaada wowote. Asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…