Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Waungwana wanajf. Naombeni msaada wa mawazo, nahitaji pesa za Tsh. 10m nizitumbukize katika mzunguko wangu wa biashara. Dhamana niliyonayo ni kiwanja cha kupimwa(Medium Density 1450sq. meters kiko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naandaa mchanganuo wa biashara ya mgahawa pamoja na pizza. Nimekwama kujua gharama ya kujenga jiko la pizza. Mwenye kufahamu gharama za kujenga hilo jiko naomba anijuze. Au mwenye kufahamu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
By Correspondent (email the author) Your Email Message Send Cancel Posted Monday, December 20 2010 at 20:34 Investors will now register their businesses in Tanzania in three days instead of...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwekezaji anahitaji shamba lenye ukubwa wa ekari 2500 liwe karibu na Dar umbali usizidi kilomita 300.Shamba hilo ni kwa ajili ya dairy farming.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukisoma hii article utaona jinsi gani miaka 50 ya sera za utumwa zinafikia mwisho na kikubwa ni kwamba ccm is trying to bring down as many people as they can. Just enjoy the reading ... incredible...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wakuu, mwenye uzoefu naomba mwongozo namna ya kupata fremu maeneo ya Mwenge, Ubungo au Manzese... Kuna jamaa yangu anataka kufungua duka la kuuza nafaka kwenye mojawapo ya maeneo hayo na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa na mpango wa kufungua biashara Tanzania kwenye mambo ya afya lakini mitambo yangu yote inahitaji umeme wa uhakika. Wataalamu wa vifaa wameniambia umeme ukizimazima unaweza kuaribu vifaa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Great Thinkers, Eti kuna ugumu gani, urahisi gani, faida gani na hasara gani kama nikitaka kwenda nchi za Asia kama Uarabuni, China, Japan kwa ajili ya kununua bidhaa za electric and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KEITH BRADSHER, On Thursday September 15, 2011, 7:46 pm EDT BEIJING — In the name of fighting pollution, China has sent the price of compact fluorescent light bulbs...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
KUNA USEMI ULIOENE MTAANI KWAMBA KWAMBA KUWA MTANZANIA MAANA YAKE USIFIKIRIE SANA MADUDU YANAYOFANYIKA HAPA KWETU ZAIDI UWE MTU WA KUPOTEZEA..... LKN WENGINE TUTAENDELEA KUSEMA YA MOYONI...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Huu ni mfumo wa biashara zetu za tanzania ambao wajasilia mali wengi wanautumia Biashara + matangazo + masoko = faida kusudio, na matangazo ni mitandao na mabango na ili utangaze vizuri kwenye...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hesima yenu; Nimefuatilia kwa kina mjada wa kufuga kuku wote lakini nilishawishika na kufuga kuku wa kienyeji, na nimenunua mashine ya kutotolea vifaranga,inauwezo wa kutotoa mayai 20...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
hivi ni nini kinahitajika na mtaji kiasi gani na gharama zipi anatakiwa mwekezaji kuweza kuanzisha benki hapa tanzania??????...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mabenki yananunua bonds za serikali, hivyo yanakosa pesa za kukopesha wananchi kwa kuwa bonds ina risk ndogo sana, hii ni hatari sana kwa uwekezaji hapa nchini, kwani wajasiliamali tunakosa mikopo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
There is a public notice on TRA on how they are going to determine year of manufacturing of imported used vehicles. TRA has recommended websites for prospective importers as credible way of...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hapa Moro stand kumetokea mzozo mkubwa. Abiria wa kutoka Shinyanga wamegoma kufaulishwa kuingia kwenye gari linalotoka Dodoma. Trafiki inaelekekea amefungwa mdomo mana anadai anataka piga simu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania and Uganda have signed a memorandum of understanding under which the Kikagati-Murongo Hydropower Project located in Uganda will be developed to supply power to the two countries. The...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
habari zenu wapendwa,kuna bajaji yangu nauza aina ya TVZ king,ipo katika hali nzuri sababu ya kuuza ni kwamba mm nipo masomoni nje ya nchi kijana wangu (dreva wangu ananizungusha haleti hesabu...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tanzania Communication Regulatory Authority has announced that December 2012 will be the end of analogue use n the country. TCRA director general Prof John Nkoma said this yesterday at a media...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mawasiliano kwa mwanadamu hususani kwa watanzania ni jambo la muhimu kwa Watanzania wa sas,kwani tunaposoma vitabu vya dini vinatueleza kuwa Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,na mimi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…