Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nitaanza kwa kuwapeni pongezi kwa kujitahidi kuwa benk nzuri yenye kupanuka siku hadi siku na kujitahidi kuboresha huduma. Mmekuwa mkijitahidi kuboresha taratibu zenu ili kukidhi matakwa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uyu mkurugenzi wa ewura anaadmit kuwa walikosea formular yaani nimechokaa! Ukimwangalia usoni ni kama hayuko serious it is as if wadau wa mafuta wakikomaa bei itarudi kama ya zamani!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nijulisheni kama nanyi mnapata tabu kuwapata
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wasalaam wadau.... nina shamba la zaidi ya ekari 50 ambalo liko kama mita 400 kutoka kando ya ziwa victoria. kwa sasa ninasoma chuo, natarajia kuingia mwaka wa mwisho hapo oktoba. malengo yangu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Almost £50bn has been wiped off the value of the FTSE as the EU president warned the eurozone crisis is spreading. The listing for the UK's top 100 companies closed at 5393, down 191 points or...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Hi members ninampango wa kuwa dealer/agent wa sigara. Wakati naendelea na utafiti wa jinsi mchakato mzima wa uuzaji na mikakati mbalimbali ya biashara hii, naomba kama mwenye uzoefu wa hii...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Mimi nimebaki na washangaa wtz wanaowashukuru EURA,kwa kushusha bei ya mafuta kwa 7%mpaka 8.5%,mi nathubutu kuwaita hawa jamaa ni wezi na huenda walinyooshewa mkono na wamiliki station za...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
If Bill Gates had started Microsoft in a country where technology wasn’t in demand, would it have boomed like it did? Your ANSWER please?
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Wadau, kuna mtu anaifahamu hii kampuni GEMMY TRADING LLC. Sijawahi kufanya kazi nao ninataka kununua gari toka kwao, halafu ile pay trade inafanyaje kazi, supplier anasema nikitumia paytrade...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnijulishe wapi nitapata mashine za kufyatua tofali kwa kutumia clay soil. Nataka portable machine zenye kutumia engine ya diesel. Naomba kama mnipe na bei pia wenye kufahamu. Mi...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
angalia kama jina la kampuni yako limetoka LIST OF SUPPLIERS/SERVICE PROVIDERS kama kampuni yako haikutoa kitu kidgo ndio hivyo tena huna nafasi ya kufanya biashara na serikali hadi mwakani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina wazo la bidhaa ambayo nina uhakika haitengenezwi na kiwanda chocote duniani. Napenda kutoa wazo la bidhaa ili watanzania mlifanyie kazi hati miliki yake iwe ni ya JF. Ni bidhaa inayoweza...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanaotaka soda ya Azam cola ctn moja ni sh 6000 inakua na chupa 12 zenye ujazo wa nusu lita,na azam malta ipo ya flaver ya apple na pinaplle inakaa chupa 12 kwa ctn na ina ujazo wa nus lita bei ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapenzi wana JF Salaam, Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Nimepokea msg toka TANAPA via my phone inasema "tumia weekend yako moja kutembelea hifadhi iliyokaribu nawe ili uburudike wewe familia na jamaa na marafiki.Kwa maelezo zaidi tembelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei za hisa duniani zimeshuka kwa kiasi kikubwa huku kukiwa na hofu kuhusu mwelekeo wa uchumi duniani. Mjini New York, bei ya hisa za Dow Jones zilianguka kwa pointi mia tano kiasi kikubwa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The government has reiterated its stand that the country is not in a position to generate power from uranium due to not only its delicacy that needs sophisticated technology, but also to...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Waziri Nundu kasema walituma watu kwenda uliza kenya,wakasema hawana mpango wa kujenga kitu kama icho. Kuna post umu iliwekwa on the same issue isije ikawa hawa Wakenya wanataka kutuzunguka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
poleni sana kwa mgao wa umeme tusiojua mwisho wake. Mimi nna mpango wa kujenga nyumba miaka ijayo maeneo ya vikindu mkuranga pwani. na sasa nasoma huku nikikusanya pesa taratibu. napenda kuomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetoka msikiliza kijana wangu Silinde bungeni apa ati kumbe tulikuwa na ndege zote izo. Naona kuna haja ya kufuatilia mpaka scrapers za izo ndege tujue ziliishaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…