nimesikia clip ya prof ndulu gavana bot eti watoto wa vigogo ni wachache sana ukilinganisha na wafanyakazi waliopo 1325.Jee kampuni ya airtel au vodacom yenye minara kila kilometa 5 na ofisi kila...
If you have surplus income and wonder where to dump your sum, and if you are interested in financial market investments, BOT is about to issue a 5-year 9.18% treasury bond for investment. Kindly...
wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa...
We have the Company, making trading business, corporate tax 30% in past yrs range between Tshs1.8 to 2.4 mln, turnover is about Tshs 1 billion. And the company decide to diversify their...
Ili sarafu ya nchi iwe na thamani ni lazima iwe na mukabala wake katika dhahabu. Najua hii ni sera ya zamani ya uchumi, lakini tangu matatizo ya fedha ya dunia kulipuka, wengi wanaona turudie...
Nina kacorola kangu nakataka nikafanye taxi. hivi mahesabu nitegemeaje kwa siku nzuri na kwa wiki. Nataka jua hili nione kama naweza jipatia kaela ka mboga au nikauzie tu nduguzangu.
Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all...
Jamani naomba mnisaidie, kilasiku tunaambiwa hali ya umeme itakaa sawa, nisaidieni itakaa sawa kivipi?
Sasa tunaambiwa maji mtera yanaisha, ivo kweli haiwezekani kutoa maji bahari ya Hindi au...
Nipo na ndugu mmoja hapa ambaye ameajiriwa Airtel, anayonieleza sio ya sekta ya simu, hasa kampuni za simu za mkononi, wafanya kazi wana hali mbaya sana, aidha ni sisi kwa sisi tunanyanyasana au...
Wapendwa JF, SUMATRA & UONGOZI WA AZAM MARINE.
Naomba kufahamishwa ni kiasi gani cha mzigo kinachoruhusiwa kama "free baggage allowance" unaposafiri na Boti za Azam(Coastal Fast Ferries).
Jana...
What next do you want
wazee wa bjm umefika wakati wenu sasa kujinadi na kufurahia ndoto zenu
kampuni yenu imetoa offer maalum wahi haraka
all taxes inclusive for more info
wasiliana na 0717 294948
Kampuni ya ndege ya rwandair inatarajia kuanza kuja mara tano kwa wiki nchini tanzania'
habari zilizotufikia zinasema kampuni ya rwandair ambayo imekuwa ikija tanzania mara nne
jumatatu jumatano...
By In2EastAfrica - Sat Jul 23, 2:43 am
Dar Es Salaam, Flickr Creative Commons
Dar es Salaam is the second least expensive city in East Africa for expatriates, global consultancy firm...
A week ago, the Chinese government opened the Jiaodhou Bay Bridge, linking the port of Qingdao to the island of Huangdao.
Built in four years, the colossus of the sea is 42 kilometers long and...