Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Natafuta Frame ya duka maeneo ambayo yanafikika kiurahisi. Isiwe kubwa sana na wala ndogo sana. Ningelipendelea maeneo kama Kinondoni, Mwenye, Sinza, Ilala na Ubungo. Lengo hasa ni...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari Members, mimi nina swali/hoja. Kama kuna mtu anayejua kama hawa jamaa wa MKURABITA wanafanya kazi namna gani, naomba mchango wake. Najua: lengo la MKURABITA ni kuipa thamani ardhi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba mnisaidie jambo moja. Hivi kujisajili kwa ajili ya kulipa VAT ni option? au Mandatory? maana ninachoshangaa wanotaka kusajiliwa kwa ajili ya kulipa VAT wanazungushwa sana wakati...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naitaji flushi ya 4gb mwenye kuziuza wasiliana nami taja na bei
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Revving Google's Search Engine EVERY TIME you initiate a search on Google, chances are Ben Gomes has had something to do with the replies you get. [Ben Gomes is a Distinguished Engineer at...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
1 - Sony BRAVIA LCD Flat Screen TV (INCH 32'') - Tsh 900,000.00 2 - Whirlpool 2 Doors Fridge - Tsh 400,000.00 3 - Super General SGW 626T Washing Machine - Tsh 500,000.00 4 - Kabati ya vyombo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
THERE IS A SCIENCE OF GETTING RICH, and it is an exact science, like algebra or arithmetic. There are certain laws which govern the process of acquiring riches, and once these laws are learned and...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Forexpros - Gold futures rallied to a fresh record high for a fourth day on Monday 18 July 2011, climbing past USD1,600 an ounce (one ounce =31.1034768 grams) amid fears over a potential U.S...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu ona unapewa hati miliki ya ardhi ambayo inatambua kitu kilicho juu ya ardhi mfano jengo na mazao na maendelezo uliyofanya juu ya ardhi.Umiliki huu umetia umaskini watanzania. Hati miliki bora...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JAMWATANZANIA MIMI KAMA MDAU WA MAZINGIRAANI Nasikitika sana na uchafuzi wa mazingira utokanao na Tiketi pindi mechi za viingilio zinapochezwa ktk Uwanja wa Taifa hali hii sio nzuri hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Oil in the middle east is the main source of their countries economy and has shown development. But minerals and gas of africa does not! Why?
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Wakuu naomba msaada wa aina na mahali pa kupata Generator ya umeme kwani nina mtoto mdogo ambaye umeme ukikatika anasumbua sana. Naomba kujuzwa aina ambayo ni imara, inayotumia mafuta kidogo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Nina wazo la kufungua ofisi ya kukopesha fedha kwa riba ndogo na masharti nafuu, na kupokea fedha kutoka kwa watu na kurudisha kwa riba baada ya mda flani. Mfano: kwa kila TSH 10,000...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, nina majukumu na sina uwezo wa kufunga mashine ya kusaga mahindi ingawa ninayo kwa anayeweza tusaidiane naye (partnership)! Nawasilisha!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, kuna mdau anatafuta pili pili manga na asali mbichi kwa kiasi kikubwa, kuna yeyote mwenye aidia ya inapopatikana pamoja na bei kwa kilo, lita?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hali ya kiuchumi katika mji wa Musoma si ya kuridhisha hata kidogo. Baada ya kukaa wiki mbili mfululizo pale mjini nimegundua hali imekuwa mbaya zaidi kiuchumi compared na mara ya mwisho nilienda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ni kwa mjibu wa blog ya Subira, link ipo hapo chini. Mwenzake Mkapa alipunguza inflations kutoka 14% aliyoiacha Mwinyi hadi kufikia 4% wakati anaondoka madarakani. Naona Kikwete sasa kaamua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii, juzi kati nlikua nafanya 'transaction' flani hivi za dola, Sasa kwakua dola zilikua ni nyingi na nlikua na haraka sikuweza kuzikagua miaka zaidi ya kwamba nilicheki tu kama sio feki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hi all the people on jamii forum, am a new member. hw things goes?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Our company have come up with an advertising medium which can directly reach the consumers. We are talking here of more than 6,000 potential consumers daily reading your ad. We are looking for...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…