Most First class students get technical seats, some become Doctors , Engineers and some Accountants etc
The Second Class pass and then pass MBA become Administrators,Doctors and control the First...
Watu wengi wanaojishungulisha na biashara za Transportation ambao ninawajua wanatumia malori aina ya Scania.Nimejaribu kuwauliza kwa nini wanatumia Scania na sio Volvo ambayo ni bei raisi...
Natafuta eneo la kukodi kwa mkataba wa miaka 2 au miaka 3. Liwe ama barabara ya morogoro road kati ya kimara hadi ubungo, ama segerea hadi tabata relini. Mwenye eneo awasiliane nami...
Wenye kuzitumia hizi mashine tunaomba mtufahamishe, mnatumia mbinu gani kuwapatia wateja wenu risiti pamoja na kuzioperate hizi mashine pale Tanesco wanapochukua umeme wao?. Assume huna chanzo...
Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600.
Zaidi ya...
Nilisema hapa muda umepita ni kwanini Tanesco wasinunue Generator wenyewe bila tender bali kutoka moja kwa moja kiwandani. Hii itapunguza rushwa kwasababu bei ye kiwandani kila mtu anaweza...
Naangalia TBC1 Habari. Mtambo mmoja kati ya mitatu iliyopelekwa kwa matengenezo umewasili. Inanikumbusha 2006 tulipoipokea mitambo ya Richmond kwa mbwembwe. Dah! Sijui!
Philimon Shelutete Dc wa Geita anatuhumiwa na Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Geita kwa kuchakachua nafasi za ufadhili wa masomo kwa ajili ya watoto wanaoishi mazingira magumu zinazotolewa na...
There is nothing wrong in wanting to get rich. The desire for riches is really the desire for a richer,fuller, and more abundant life and that desire is praiseworthy. The person who does not...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Salma Kikwete (kulia) akizindua nembo ya (HMT) kwaajili ya uzinduzi ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust na kuanzisha kampeni ya kusaidia kutokomeza...
Tangu Jumapili tarehe 10/7/2011 hadi leo Jumatano jioni TANESCO Arusha imeshindwa kuwapatia umeme wakazi walioko maeneo ya Kijenge yote(chini na juu), Kimandolu na maeneo yaliyoko barabara ya...
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza wafanyabiashara wa Kitanzania kwenye kongamano la kihistoria la wafanyabiashara litakalofanyika Julai 9 , mwaka huu jijini Pretoria, Afrika Kusini.
Kaimu...
Nawapa tu taarifa kwamba Mh Rais yuko Bilila Lodge mapumziko tokea jana.
Tumtakie mapumziko mema Raisi wetu ili arudi akiwa na nguvu mpya ya kulitumikia TAIFA LETU.
Nawakilisha.
Nimekumbana na Nyaraka zinazotoka kwa mtu anayeitwa Habib Mahlouji ambaye ni CEO WA CASPIAN ,nyaraka hizi zimenistuia sana kwani sikujua kuwa kumbe Rostam amekodishiwa kuchimba alimas ya Mwadui/au...
Ndugu wana - JF nina mpango wa kufungua kijiduka cha VIPODOZI maeneo ya MWENGE, SINZA au sehemu nyingine inayofaa kwa biashara hiyo kulingana na ushauri wenu wadau.
Naombeni msaada wenu wa namna...
Kwa muda mrefu serikali yetu imekuwa ikisisitiza kuwa ajira ambazo watanzania wana uwezo wa kuzifanya wageni kutoka nje hawaruhusiwi kuzifanya. Msisitizo huu unatokana na malalamiko ya waTanzania...
Gold price hits record highFears over inflation and European debt drive price of gold to $1,587 an ounce
Graeme Wearden
guardian.co.uk, Wednesday 13 July 2011 18.04 BST
Investors have retreated...
Korea International Cooperation Agency (KOICA) is supporting a project for the modernization of Tanzania's customs administration, which is to cost USD 3.3million, equivalent to 5bn/-.
The project...