Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Leo tuziangalie hizi biashara tupeane mawili matatu kwenye angle hii ya Uwekezaji, kwamba mtaji wa kiasi gani unahitajika ili kufaidi faida kubwa Uendeshwaji wake Faida zinapatikanaje Biashara...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
7 Reactions
298 Replies
28K Views
Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel...
12 Reactions
93 Replies
5K Views
Habar wakuu, Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga. Je...
10 Reactions
85 Replies
12K Views
Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana. Na ukweli ni kwamba upigwaji...
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema. Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki...
1 Reactions
5 Replies
424 Views
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
habari wapendwa katika bwana,wale bolt/tax driver naomba kujua jambo moja hivi kuna wale abiria wanaolipia kwa njia ya credit card baada ya safari ile hela inayoingia kwa account yako unaitoa vipi...
0 Reactions
4 Replies
730 Views
Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. Je, nini kinatumika kabla? MINING GEOLOGY IT...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Ni wazi jamii yote inashuhudia wachungaji na maaskofu wakiibuka kuwa na mali nyingi kuliko waumini wao wanaowaombea. Natatizwa na wimbi kubwa la waumini wao kuzidi kuzama kwenye wimbi la...
1 Reactions
10 Replies
631 Views
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naandika thread hii kuwasaidia vijana walio wengi wanaokuwa wakihangaika kusaka the so called 'Utajiri' au kutaka kuwa na pesa na wanajikuta kila mara hawajui zimepotelea wapi. Kuna threads...
10 Reactions
14 Replies
14K Views
Unataka kuanzisha radio? Haya sasa TCRA wametangaza masafa tayari katika maeneo mbalimbali kama.ifuatavyo:- 1. Morogoro (Radio za biashara 2, zisizo za biashara 1) 2. Kyela (Radio 2 za...
4 Reactions
57 Replies
15K Views
Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata. Sasa kuna ndugu...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Haya Wazoefu na Wabobezi wa Maisha na Ustawi wake tafadhali karibuni mtupe Maujanja hapa Sisi Mafukara tujue Oky?
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu naomba tushauriane hapa Nina eneo langu Arusha /Moshono siyo mbali na mji Eneo ni 22 kwa 24 je nijengenyumba ya kuishi au nyumba za kupanga? NB Sina nyumba nimepanga Na je kama ni nyumba...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Habarii, natumaini wote ni wazima, Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa...
5 Reactions
30 Replies
12K Views
Naomba kuuliza wakuu, Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo 1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi 2. Mtaji ni kiasi gani? 3. Faida...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji hapa Dar es Salaam.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…