Jamani kwa jinsi sukari ilivyokuwa juu hivi juzi juzi limeniijia wazo la ulimaji wa miwa kwa ajili ya sukari je nani anaweza kuniambia gharama za ulimaji wa Hekari moja maeneo ya Coastal au maeneo...
wana Jamii, Mchana huu Mh. Raisi J.K ameingia bandarini kukagua shughuli zina vyoendeshwa.
Wadau tunao shughulika humu ndani tumezuiwa kuingia, mageti yamefungwa kupisha ugeni huo.
Hivi storage...
Wadau mliobobea kwenye sheria za kimataifa na mambo ya bima naombeni msaada. Mimi ni mfanyabiashara wa magari, kwa bahati mbaya siku ya 11/3/11 ambapo tsunami iliyosababishwa na tetemeko la ardhi...
Resouce mobilization
Farming, animal husbandry, fishing business struggle dearly for loans from banks
manufacturing and construction dont have proper financial instruments to maximize their...
tanzania ni moja ya nchi Africa zinazo ongoza kwa ajali kwenye sekta ya ujenzi hasa majengo. Hii inatokana wafanyakazi kutokua na mafunzo hafifu pamoja na kutokua na vifaa vya taaluma hiyo. Ajali...
Turnover toka Ths. 40 millions kwenda Mabilioni
changamoto za vijana kupata mikopo benki
CLOUDS- COOL* LOVEABLE* OUTRAGEOUS* UNIQUE* DYNAMIC* SOUNDS
Entertainment business- Television, RADIO, CONCERTS
vyombo vya habari hivi karibuni vimekunukuu ukishauri kuwa, Tanesco iachane na uzalishaji wa umeme na suala hilo wapewe makampuni ya umma ambayo kwa mujibu wako unaamini yanauwezo wa kufanya hivyo...
Inashangaza waziri mkuu anapotoa tamko harafu linashindwa kutekelezwa , katika ziara aliyofanya mkoani kagera alikemea kupanda kwa bei ya sukari ukizingatia kunakiwanda 70km kutoka bukoba...
Hi Members!
I'd be interested to supply schools, especially secondary schools with lab equipments and chemicals that students use in their chemistry lessons. anyone interested especially...
Moja ya vitu ambavyo ni kikwazo kikubwa kwa mtu kufikia mafanikio yake au ndoto na maono WOGA (FEAR FOR CRITICISM) ni namba moja.
Woga ni adui mkubwa sana wa kuifikia ndoto/maono zetu, Ni...
nafikiria kuagiza hii nimeambiwa bei zimeshuka...na naipenda kuliko VOGUE (kubwa na ile sport)
sasa maswali:
1. niagize wapi kati ya Dubai, South Africa, Japan au Europe?
2. please advise...
SASA TUNAANZA KUVUNA TULICHOPANDA KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA SANA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA MAMBO YA KISIASA.
"..I feel we support some countries that really dont give a shit about their...
Wadau! Habari zimezagaa mjini kuwa, Kuna dalili zote za kutokea mgomo mkubwa ndani ya NBC Bank, ile bank iliobinafsishwa kwa makaburu kwa bei ya chee, sasa kuna mgomo baridi, wafanyakaz...
Wakati serikali yetu ya Tanzania ikiwa haijiwezi hata kujitosheleza kwa bajeti ya mwaka mmoja, huku mkwere akiwa anachanja anga kila kukicha na mawaziri wake wakiwa kwenye mizunguko isiyoisha...
Hivi ni kweli benki hii inawakopesha fedha za kufanyia kazi bila dhamana kwa suppliers wenye L.P.O Kutoka Serikalini au Makampuni ya uhakika Waislamu kuliko Wakristu eti kwasababu waislamu ni...
Mimi naona tumechelewa kuifanya michezo kuwa ni ajira. Tunayo michezo mingi tu ambayo ikifanyiwa kazi na wataalam wetu ikawa ya Kitaifa kwanza halafu ikaanza kusambaa taratibu nchi za jirani na...
Mimi ni mteja wa Kampuni hiyo ya simu toka iingie nchini kama Celtel, Zain na sasa Airtel lakini hakuna wakati niliokwazwa nao kama safari hii wanapojiita Airtel.
Nilianza kukwazwa na tangazo...
Wana JF habarini za majukum? Mie mwenzenu niko njia panda nahitaji msaada wenu wa mawazo nataka kununua gari je kuagiza kati ya Dubai na Japan wapi kuna unafuu kwa maana ya kupata gari nzuri na...
Wana JF,
Naombeni msaada na mnishauri,
Nataka Kununua Gari ktk Survey yangu nimekuta gari mbili,
Ya kwanza
CIF 6790 ni gari ya Mwaka 1998
Ya pili ni
CIF USD 9800 ni gari ya mwaka...