With four years to go, Tanzania still lags behind other East African countries towards the realization of the Millennium Development Goals (MDGs), says the latest report by the Centre for Global...
Naombeni msaada wenu wana JF nataka kuanzisha shule ya computer ila yawe maeneo ya mkoa usio popular sana kama dar, mwanza, arusha, ni wapi hasa ukiwa chipukizi ni pouwa sana!
Niliwahi chukua mkopo bank moja nitaitaja baadaye,
tukakubaliana wakate makato tare 30 ya kila mwezi kasoro february,
cha kushangaza banki hiyo imebadili tarehe ya kukata na kuweka tarehe 23. Na...
JAmani wana JF nahitaji msaada toka kwenu kuhusu, Je kama nataka kujenga nyumba kadhaa na kuuza natakiwa kuwa mmiliki wa ardhi hiyo?
Je wizara ya ardhi au manispaa zimetenga sehemu yaani maeneo...
Kwa sasa imekuwa ni tabia kwa watanzania walio wengi kuthamini sana vyakula vya "Super Markets" kuanzia matunda, mbogamboga na hata vitoweo na vitafunywa.
Pengine wengi tunaweza kuathirika...
Mimi ni mdau wa tourism kwa miaka 15 sasa. Nina Diploma ya hospitality management na BBA. Mwaka 2007 nilianzisha new project in a foreign company tukafungua a tented semi permanent lodges in...
Nawasalimu wana JF
Kwa taadhima naomba kuuliza nina eneo la nusu ekari mahala panaitwa Msongola katika wilaya ya Ilala. Naomba kujua kwa eneo hili la ardhi naweza kufanya kilimo gani kinachoweza...
QUESTION 1.
Whats the answer? Would it make things
better if we took all the money in the world
and divided it equally among everyone?
That would level the playing field and we
would all...
Je una Idea au Business project ambayo inahitaji Mtaji usiozidi Usd 4M ambayo returns yake inaweza ikafikia mpaka USD 20M baaada ya miaka 3 au 5 with very low risk ila masharti yake ni simple...
Saturday, 29 January 2011 09:50 0diggsdigg
Daniel Mjema,Moshi
SEKTA ya kahawa inakabiliwa na matatizo mbalimbali, ikiwemo usafirishaji wa kahawa kwa magendo kwenda nje ya nchi na...
Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!
naomba kujua uzuri wa magari ya FORD
nafahamu ford everest, ford ranger, ford expedition, ford escape, ford explorer.
Je yapo magari used?
Je ni 4WD au 2WD?
kampuni gani iliyopo Dar...
Ndugu waJF kwenye kila noti za hela kwenye kila nchi kuna alama ambazo zina maana tofauti, nimeiangalia noti ya dola moja ya Marekani nyuma kuna picha ya mnara wa Piramidi halafu kuna picha...
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa...
Wadau nahitaji gari la mizigo aina ya Mitsubish Fuso fighter ya kawaida au mayai ya kununua.Kwa mwenye nalo anaweza kutuma tangazo lake humu humu janvini kwa kuweka mawasiliano yake nami...
Wataalam,
Nimepitia hii tovuti kujua pesa yetu ukilinganisha na za nchi zingine. Mbona tuko karibu na mwisho? Ni Zimbabwe tu ndio tunawapita kwa mbali wengine ni atmost 3 times.
Tembelea...
Naomba kuuliza kama kuna mahali ambapo naweza kusoma maendeleo ya uwekezaji, biashara, uzalishaji, wa hapa tanzania katika lugha nyepesi na endelevu.
mfano
1. majina ya makampuni na miaka...
Wadau nnaomba mnisaidie hili.Tanzania ni moja na ina katiba moja ambayo ndo inatumika Bara na Visiwani.Tanzania Ina kusanya Kodi nchi nzima kwa kupitia TRA ambayo ipo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi...
By james anyanzwa
The global economy is projected to grow by 4.5 per cent this year buoyed by increased activities in the emerging and developing economies.
According to the International...