Ndugu zangu wana JF,
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo amefikisha umri wa kustaafu. Kama ndivyo, mbona anaendelea na kazi tu? Au Rais ana madaraka ya kikatiba ya...
Katika utafiti uliofanyika unaonyesha katika population ya Tanzania only 10% ndio ina tumia huduma za kibenki. Hata hivyo asilimia hiyo kiduchu haijui au haina Elimu ya mikopo inayotakiwa.
Kwa...
Can Africa economic pundits invent acronyms like BRIC or VISTA which will foster investment and opportunity to our people?
http://http://www.economist.com/node/17493468?story_id=17493468
Wachumi na wajuziwahii sekta naombwa kujuzwa kwa lugha nyepesi maana ya hili neno bailout
Ireland nchi bayo ukisoma ni moja kati ya nchi zilizokuwa na uchumi mzuri zaidi ulaya kuliko hata...
Bharti Airtel launches new global brand to unify its African operations
All customers will experience the same familiar brand and enjoy the same quality of service, reliability, innovation and...
Written by Egesa Bwire
22 November 2010
East African Business Week (Kampala)
The general environment for doing business in Tanzania has slipped slightly in comparison with last year as...
wakuu wana jamii hongereni kwa elimu bora.
napenda kufahamu uhalisia wa hili swala la watz kuuza zaidi katika soko la jumuiya ya afrika mashariki.
Je imeleta tija kwa kiasi gani kwa mtz?
a.n...
Gazeti la Mwananchi la leo linaripoti ya kuwa kigogo mmoja wa Tanesco amesababisha hasara ya mamilioni ya fedha baada ya kupuuzilia mbali ushauri wa kitaalamu wa wadogo zake kazini ambao ni...
Kwa watakaohitaji nauza Toyota GX 100 kwa sh7.5 Milioni. Ipo katika hali nzuri na imetembea kilometa 54,000 tu, ina Air condition, iko katika hali nzuri sana tena sana. Wasiliana nami kama unahitaji.
VANCOUVER, Nov. 22 /CNW/ - Tanzania Minerals Corp. (the "Company") (TSX-V: TZM.V) (FRANKFURT: CA87600X1087) is pleased to announce that it has entered into an agreement with Primary Capital Inc...
Tunaomba wahusika wa ticts wawe na mtazamo +(chanya),una myima mteja waiver ya storage ya mzigo mpaka unafikia kuuzwa mnadani na customs and excise,unakuta gharama za ticts storage ni kubwa mara...
Habari wana jamvi.
Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala.
Natanguliza...
Baada ya kubadilisha jina kutoka Celtel kwenda Zain mwaka 2008, kampuni ya Zain inatarajiwa kuanza rasmi kutumia jina jingine jipya la Airtel kuanzia tarehe 22 November 2010 (jumatatu ijayo). Hii...
Ndugu wana jamii ninahitaji kuchimba kisima cha maji safi,ila sina uelewa wa makampuni yanayohusika kuchimba visima,ninaomba yeyote anayefahamu company yoyote inayochimba visima kwa bei nafuu
The top ten brands in Tanzania, according to the research findings, were Azam, Nokia, Blue Band, Tigo, Vodacom Tanzania, Kilimanjaro Pure Drinking Water, Whitedent, University of Dar es Salaam...
Juzi nilikuwa Morogoro mjini na nilipita maduka kadhaa ya jumla nikitafuta battery aina ya Duracell size AA.
Maduka mengi hazikuwepo ila kuna Bwana mmoja anauza TV na satelite dishes ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.