Najua siku hizi mnadai mnafanya kazi kwa mtandao,mtu ana lodge document leo inachukua siku 8 mpaka 10 na hapo unafuatilia ,wakati mwingine inasahaulika kabisaaa!,halafu kibaya zaidi wakati...
Gazeti la Majira linatuhabarisha ya kuwa huko Kibaha huu mkasa umewakuta wanavijiji wanyonge..........
sijui wanavijiji hawa walengwa walipigaje kura..............................kama walichagua...
I have a good agriculture plan which will yield a profit of 15m within 4 month but it need a capital of 10m.for anyone interested with this please contact with me with adress firstone2011@yahoo.com
wadau poleni na mihangaiko inayotuweka mjini, naomba mwenye ujuzi au uelewa wa malighafi inayotumika katika utengenezaji wa vioo anijulishe jamani, na je hapa kwetu Tanzania kuna kiwanda...
Habari fellows! binafsi napenda kujua na ninashauku kubwa kwanini budget ya nchi yetu uandaliwa na non-economists nkimaandisha mawaziri ambao wengi wao hawajasoma uchumi indeep nakusabisha...
Im often asked how social networks can be used for practical business purposes. While convincing people that LinkedIn is a good professional tool is not hard, many folks are not using Facebook...
Salam wakuu,
mlioko mjini (dar), hivi wazo la kuwa gaming centre yenye machine za kisasa inaweza kulipa?
Tafadhali nijuzeni, kama kuna game centre yenye mashine za kisasa wanatoza bei gani (kwa...
Msaada kwenye Mtaro hapo!!Hivi jamani wakuu kwa niaba ya mke wangu ambaye anataka kufanya biashara ya kupeleka bidhaa zilizotengenezwa na ukili! ila sasa mpaka sasa hivi bado tunahangaika kujua...
Inasikitisha Kwakweli Katiaka Ulimwengu wa sasa pale Demand ya Service ni Kubwa ila hamna Supply. Nimezungukia Tanesco Mpaka Nimechoka, ni Mwezi wa Nane huu hawa jamaa wanajisuasua tu kuniwekea...
Kuna habari za ndani kuwa TANESCO imefilisika wala haikopesheki tena.source katibu mkuu wa wizara!kama kuna mwana jf aliye na data zaidi amwage hapa. Tukumbuke 8% only ya watanzania ndio wapatao...
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
ya kwanza mliuplift gari na...
Kwa kuwa mimi si mtaalam wa uchumi nitaanza kwa kuomba radhi pale nitakapoandika mambo yatokayo kwa mtu wa kawaida (lay person). Ni kuhusu bei ya mafuta inayozidi kupaa kila siku. Sasa hivi bei...
[FONT="Century Gothic"][/FONT
Wachumi naomba mnisaidie maana kamili ya neno Inflation kwani naona bei za vitu zinazidi kupanda lakini anakuja afisa mzito wa Serikali/Takwimu anasema Inflation...
Ivi ni kwamba madini yameisha chini au?
Nasikia vitu vimeanza toweka wakati kuna walinzi
Mbaya zaidi wameacha MASHIMO jamani ivi hii serikali iko serious bse ata sustainable environmental...
Chinese workers build 15-story hotel in just six days
As the United States and China battle over the finer points of currency manipulation at the G-20 summit, American negotiators may want to...
wanabodi nawasalimu,
nimepata mradi ULIONIZIDI KIMO ambao nina uzoefu nao kiutaalam,
kwa kawaida (kutokana na uzoefu ) profit margin inarange kati ya 40-55%
NATAFUTA MUWEKEZAJI (MSHIRIKA WA...
With Gold Prices hitting a new record high of $1403 and currency volatility looms the currency markets concerning what should be a medium of exchange. Some financial regulators are proposing a...
Wiki iliyopita nilisikia kuwa TUCTA wanapanga kuipeleka Serikali mahakamani kwa kuchakachua mishahara ya wafanyakazi sekta binafsi.
Wakati wa kampeni tumesikia kuwa wafanyakazi wa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.