Ndugu Zangu,
Hebu kaeni kwanza mfikirie, iwapo hili nalo linahitaji mkono wa Serikali.
Nazungumzia suala la makazi yasiyo rasmi, yaani, squatter areas. Ndani ya Dar yametapakaa kila kona, hata...
WAKU NA WEHESHIMIWA POLENI NA PIRIKA ZA UCHAGUZI
Nahitaji ushauri na maarifa kwenu wana JF mimi nafkiri kuanzisha biashara ya kusafirisha ndizi za bukoba nje ya nchi lakini sifaham utaratibu wa...
Wakuu,
Kuna tangazo mtakuwa mshaliona kwa juu... Wateja wa Zain mtakapoongeza salio tarehe 15 Novemba (Jumatatu) kuanzia sh. 500/= na kuendelea utajipatia 20% ya ziada siku hiyo tu.
Kwakuwa ni...
Naelekeza mahojiano yaliyotangulia kuhusu "gharama za ujenzi Tanzania" na kuanzisha thread hii ambayo nia yake ni kuleta technologies mbali mbali zinazotumika ulimwenguni katika ujenzi ulio nafuu...
Serikali ya Sweden imesaini mkataba wa kuipatia Serikali ya Tanzania Sh.bilioni 44 kwa ajili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini.
Akizungumza wakati wa kusaini mkataba huo jana na...
Wadau naona Uhusika wa John Andrew Chenge, Iddris Rashid, Tanil Kumar Somaiya na Shailesh Pragji Vithlani katika Manunuzi ya Radar 1999 ni uhujumu wa Uchumi na inabidi washitakiwe kuhujumu Uchumi...
Hivi uchumi wa nchi yetu ukoje kwa sasa? na kipimo chake ni nini kinacho onyesha uchumi uko juu au chini?.Maana hali sio hali,pesa shida kupata na ukiipata haina thamani.
Hivi ni kwa nini mpaka sasa tunategemea Flow Meter moja tu kwa ajili ya kupakua mafuta ya petrol/diesel pamoja na mafuta ya kula?
Kwa nini wahusika wasiweke flow meter pia katika bandari zetu za...
Tanzania inaongoza kwa kutoa misamaha mikubwa zaidi ya kodi ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki pamoja na bajeti yake kuwa tegemezi kwa misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia...
It is my first time joining JF,I have gone through different threads/topis from when it started and find it more advanced,interesting and a nice web share different ideas and with my case ...
Habari ya leo wanaJF? Naomba mwenye kufahamu mfumo au sera ya kodi ya nchi yetu (Tanzania) inasemaje kuhusu ukataji kodi katika mazingira yafuatayo:
Kwa mfano; mtu aliyeajiriwa (serikalini au...
Tarehe 01/11/2010 mfumuko wa bei ulikuwa hivi, je siku 100 zijazo tarehe 08/02/2011 hali ya nchi itakuwaje? Tutegemee anguko la mfumuko wa bei au kupanda kwa bei?
Indicative Foreign Exchange...
Kutokana na visingizio vifuatavyo watu/Bussinessmen wengi wameonelea ni bora kuagiza wahindi kutoka India kutokana na tofauti ya matatizo lukuki tuliyonayo ya kuzaliwa nayo ambayo hutufanya...
ndugu zanguni, nimekaa nimefikiria kuhusu uanzishaji wa ka-biashara ka kukodisha Party and wedding tents pamoja na viti (kwa ajili ya harusi, sherehe nyingine, misiba, mikutano etc).. Lengo ni...
Experienced Accounting and Finance Tutor for University students (Open university and the like) and professional qualification students (like CPA and ACCA) is available.
If you need...
mambo vipi?jamani wenyeji wa jiji la dar nielekezeni maduka bomba ya nguo za kisasa kama vile suit za kike,viatu,na nguo zingine za kisasa nipo hapa jijini kwa muda na sina mwenyeji.
sitaki kwenda...
The best books I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read these books, I am sorry for you. Lucky for me.BE BLESSED
Wakuu naleta kahabari juu ya wajamaa waliotembelewa na fwedha serious wanavyoishi.
Sisi hapa jamaa akitembelewa , mara kaleta Vogue au Hummer kwa ndege.
Rahisi kujua kuwa hizo ni za EPA...
Ndugu Wana JF
Nafahamu sote tuko makini katika kufuatilia matokeo ya Uchaguzi.
Hata nami saa hii nipo katika banda langu la kuku with my laptop na kufuatilia taarifa hizi hapa JF.
Naomba...
Naona idadi ya vituo vya kuuzia petroli ambavyo wanadai wameishiwa imeongezeka sana siku hizi mbili. Nina wasiwasi wanahodhi ili wayalangue wiki ijayo kwa kisingizo cha kuadimika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.